Chenja za JKT zilituhamasisha sana tusitoroke,tukumbushane chenja!

Chenja za JKT zilituhamasisha sana tusitoroke,tukumbushane chenja!

756kj mwaka 1978
Wazazi wametukaaa, wametutupa porini
Nasi kifo tumekikataa, tutarudi tu mjini

Mwingine ni

Afande kuma_ kumaliza mafunzo si mchezo
Inakubidi ukaikaze_ uikaze nia si moyo legeza
 
Ayayaayaya mama ...mwendo wa kibeto

Ayayayaya mama wee...mwendo wa kibeto
(Hapo kati wazee wa selfie wanabadilisha wimbo mzima)

Ayayaaaya mama wee...mwendo wa punyeto
 
Vipi kiuchumi mpo vizuri sasa hivi au mlikuwa mnaimba na kupiga mazoezi bure tu
 
825KJ

Nlikuwa nikiipenda ile ya siwela eeh ambaa.. siwela eeh ambaa siwela eeh ambaa* 2

sina mwengine.. mwengineeeh eeh *2
sina mwengine mama.. mwenginee eeh*2

nyingine ni.. kijani kibichi cha... sjui cha nini nshasahau neno ila inaeendelea.. kambi mtabila inan'garaa wee iliyo juu ya mlima....

nyingine nilikuwa nikiimba navuta hisia mbali sana hapo tumetoka kula doso inaambwa

oyaya merinaa .. oyayaa merina
merina wangu (kiitikio oyayaa)
nakupenda Sana (oyayaa)
Mimi nipo depo((oyayaa) nitarejea (oyayaa mzuri Sana merina)

ya coy yetu ilikuwa

denjalo denjalo. denjola coy yangu.. denjalo mama denjalo 92 mbili mtabila aaeeh aaaheeh...
 
hahaaa zero mzee wa kuleta karanga
Ndani ya 832 kj bravo coy ya demo chenja niliyokuwa naipenda sana ni ile la molari hamba morali we hamba moralii hammba morali we hammba siyela hamba siyela we hamba, hamba na manyekunyeku. Tupo na afande the best na zero na afande alimasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wa 825KJ Mtabila moja hiyo danger coy ya morali tukiwa na afande mzilai a.k.a the sniper , chenja yangu ya mda wote ni " washkaj mbn mnalemba, atulembi cc tunangoja ageuke ; unashangaa busha ndani ya modo mambo kidigitali..........! Dah hataree sana iyo
Soja, Me nilikua Mtabila pale Op Merelani...

Field Marshall
Mdhihili (Sura ya Yesu) na swalehe wametutesa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijani kibich cha mtz, kambi Mtabila inang'aa, iliyokaa juu ya mlima, huku na kule
825KJ

Nlikuwa nikiipenda ile ya siwela eeh ambaa.. siwela eeh ambaa siwela eeh ambaa* 2

sina mwengine.. mwengineeeh eeh *2
sina mwengine mama.. mwenginee eeh*2

nyingine ni.. kijani kibichi cha... sjui cha nini nshasahau neno ila inaeendelea.. kambi mtabila inan'garaa wee iliyo juu ya mlima....

nyingine nilikuwa nikiimba navuta hisia mbali sana hapo tumetoka kula doso inaambwa

oyaya merinaa .. oyayaa merina
merina wangu (kiitikio oyayaa)
nakupenda Sana (oyayaa)
Mimi nipo depo((oyayaa) nitarejea (oyayaa mzuri Sana merina)

ya coy yetu ilikuwa

denjalo denjalo. denjola coy yangu.. denjalo mama denjalo 92 mbili mtabila aaeeh aaaheeh...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdau ulikua Op gani Mtabila,

Me Merelani, Danger Coy ya demo.. Si unajua Denja hatutimii.....

Afande Paul Mabula katurolisha sana uelekeo usiojulikana
825KJ

Nlikuwa nikiipenda ile ya siwela eeh ambaa.. siwela eeh ambaa siwela eeh ambaa* 2

sina mwengine.. mwengineeeh eeh *2
sina mwengine mama.. mwenginee eeh*2

nyingine ni.. kijani kibichi cha... sjui cha nini nshasahau neno ila inaeendelea.. kambi mtabila inan'garaa wee iliyo juu ya mlima....

nyingine nilikuwa nikiimba navuta hisia mbali sana hapo tumetoka kula doso inaambwa

oyaya merinaa .. oyayaa merina
merina wangu (kiitikio oyayaa)
nakupenda Sana (oyayaa)
Mimi nipo depo((oyayaa) nitarejea (oyayaa mzuri Sana merina)

ya coy yetu ilikuwa

denjalo denjalo. denjola coy yangu.. denjalo mama denjalo 92 mbili mtabila aaeeh aaaheeh...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chungulia chupi ya Wemaa, Chungulia chupi ya wemaeeeee.... ya wema ya wema ya wemaaaa ... chungulia chupi ya wema eeee!

Sio wema Sepetu, bali utu, ubinadamu uujue hadi ndani

821KJ 2014.. Nitawakumbuka sana Afande Mundeba, Mhasibu, Bufa, Nyaulingo, Katumbaku, Kiliza, Mwakibinga
Kumbuka mbali sana kaka, Mp Kichefuchefu, Afande Manyigu(rip), Mej James, Mzee wa Bustani na wengine wee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukumbushane kipindi hicho cha JKT,

"Usiwe kama police pushapu kwenye godoro,uwe kala lisoja pushapu kwenye kokoto"

Moja ya mstari ulionivutia sana enziii hizo nipo 835KJ..

Name:AQRAM S ALLY
Kambi:823KJ MSANGE
COMBANIA:CHARLEE COY(C COY)
Platoon:NO.2
Section:2

my best chenja:KAZI YA MAJESHI EEEH GANGAMALA LAZIMA UGANGE MALE EEEEH GANGAMALA LAZIMA UGANGAMALE

Barabara ya zambia reli yetu kuu ya uhuru shaba na mawese zaingia heeeko heeko tanzania
cinderela cinderela

sinderela mama sinderela x 2

embe dodo sijalila
embe lako baby sijalila

na barua nishatuma na barua mama nuishatuma

natamani niendeleeeeee.............................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................
 
*Muongoza chenja

Mama jonii mama

*Kiitikio

Mama jonii

*muongoza chenja

Eeh mama jonii

*kiitikio

Mama jonii maamaa

*muongoza chenja

Nitarudi mamamaa

Eeh mama Joni

*kiitikio
Mama Joni maamaa

*muongoza chenja

Nipo depo

Eeh mama Joni

*kiitikio

Mama jonii mamaa aa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chenja 02

If I die don't bury me here send me back to my famili

Kama nikifa msinizike hapa nipeleke nyumbani kwa baba na mama

Nderemoo mama nderemoo aiyai iyaa nderoomo aiyaiya

Tutawakumbuka makamanda wote waliokufa kwenye mapambano ×2

Nderemoo mama nderemoo

Kiitikio : aiyaa iyaa

Nderemoo

Aiyaa iyaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom