Chenja za JKT zilituhamasisha sana tusitoroke,tukumbushane chenja!

Chenja za JKT zilituhamasisha sana tusitoroke,tukumbushane chenja!

Chenja 03


Igwee nalia aa igwee nalia ×2

Ohh igwe mama

Igwee nalia aah igwe nalia

Oh yanamwisho !!! Hapa unakaza saut ...


Yanawishoo ohh yanamwisho


Ohh vumilia

Vumilia aah vumilia

Ohh vumilia

Vumiliah aah vumilia


Oh kwa morali

Kwa moralii ohhh kwa moraliii


Nb: hapo naimba kwa hisia namuwaza mchuchu nimalize nirudi nimkute [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Name:AQRAM S ALLY
Kambi:823KJ MSANGE
COMBANIA:CHARLEE COY(C COY)
Platoon:NO.2
Section:2

my best chenja:KAZI YA MAJESHI EEEH GANGAMALA LAZIMA UGANGE MALE EEEEH GANGAMALA LAZIMA UGANGAMALE

Barabara ya zambia reli yetu kuu ya uhuru shaba na mawese zaingia heeeko heeko tanzania
cinderela cinderela

sinderela mama sinderela x 2

embe dodo sijalila
embe lako baby sijalila

na barua nishatuma na barua mama nuishatuma


natamani niendeleeeeee.............................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................
Na mzee wa kwata afande Muna unamkumbuka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chenja 04

Bonge analia bongee

Ohh bonge

Bonge analia bongee

Eeh mama bongee

Hee!!

Mwambie mwanao

Hee!!

Huku jeshini

Hee!!


Full morali

Hee

Eeh bongeee

Bongee analia bongee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chenja 06

Eeh kakopa money kasepa mbeya

Eh kautosa moyo karudi mbeyaa

Mbeya mamaa mbeya wee

Mbeyambeya ×2 mamaa Mbeya mbeya


Ooh ayileee

Yomaamaa ahh yo maama

Oh ayilee

Yomaa maa aah yomaa

Nipo depo

Yomaa aah yomaa

Nitarejea

Yo maamaa ahh yo maamaa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ayaaa chikichiiii mama napenda jeehi ni noma
Mananga tulikuwa mstari wa mbele kupiga kijogoo na kula 5/5
 
Back
Top Bottom