Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Tanzania ilibadilisha cheo cha Brigadier kutoka Senior officer na kuwa General Officer na hivyo kuweka pengo kubwa sana kati ya senior officers na general officers.
Kwa mfano unaposikia Major General basi kunakuwa na officer anayeitwa Major, Ukisikia Lt General ina maana kuna officer anayeitwa Lt. Nchi nyingine zina Captain General kutokana cheo cha Capatin. Sasa Brigadier general ilitakiwa itokenane na cheo cha Brigadier ambacho Tanzania sasa hakipo. Ningeomba cheo hiki kirudishwe,
Ni maoni yangu tu hayo, na nimewahi kulitumikia JWTZ kwa ngazi ya chini sana; cheo changu cha mwisho kilikuwa LCPL. Tujenge jeshi letu.