Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
ccm watapataje haki ya kuvunja katiba na kuuza rasilimali za taifa?
Wakliipata kwa babu yao Nyerere na Magufuli wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ccm watapataje haki ya kuvunja katiba na kuuza rasilimali za taifa?
Nipe jina la huyo anayejiita jenerali huko mtaani nimsemee kwa Mama. Nchi hii ina Jenerali mmoja tu aliyepo ktk utumishi badoHicho cheo cha Brigedia ni huko jeshini tu. Huku mtaani wote wanajita Majenerali as long as amefikia cheo cha ubrigadia.
Mimi ninawaza imekuaje nchi yetu imekuwa na Majenerali na Makanali weeeengi tofauti na miaka ya 80 na 90. Nakumbuka nilipokuwa jkt oljoro sikuwahi kumuona kanali hadi namaliza mafunzo yangu na kwenda chuo kikuu.
Lakini leo vijana wetu wanapokwenda huko ukiongea nao utasikia baba leo tulitembelewa na wakubwa makanali, mara Brigedia . Haya huko barabarani unakutana na magari meeengi yana nyota idadi tofauti.
Haya kwenye sherehe za kitaifa unaona wajeshi weeeeeengi wenye vitambaa vyekundu kwenye kola, siku moja niliona wamekaa pamoja kwa harakaharaka idadi yao ilikuwa sio chini ya 150.
Nyerere hakutoa mavyeo mengi hivyo tena kipindi cha vita na Uganda, nawaza hivi ile vita ingekuwa ni miaka hii ya 2010... Si wangepewa hadi wafike 2000.
Taasisi yoyote yenye ufanisi na iliyo thabiti lazima hierarchy yake iwe imebana kisawasawa .
Nipe jina la huyo anayejiita jenerali huko mtaani nimsemee kwa Mama. Nchi hii ina Jenerali mmoja tu aliyepo ktk utumishi bado
Hii kauli ya kulitumikia taifa kwa uzalendo nadhani haistahili kwa miaka hii ya 90 - 2023 kwasababu watu wameingia jeshini hadi wanastaafu hakuna changamoto yoyote waliokumbana nayo. Wazalendo ni wale wa 1980s kipindi cha kumsaidia Samora Macheli dhidi ya Renamo na wale makamanda wa kipindi cha vita vya Kagera 1970s.Ni mahayati/ Marehemu kwa sasa. Ni moja ya fahari yao kujiita hivyo wakiwa waastafu baada ya kulitumikia Taifa kwa Uzalendo na Uaminifu mkubwa.
Tanzania ilibadilisha cheo cha Brigadier kutoka Senior officer na kuwa General Officer na hivyo kuweka pengo kubwa sana kati ya senior officers na general officers.
Kwa mfano unaposikia Major General basi kunakuwa na officer anayeitwa Major, Ukisikia Lt General ina maana kuna officer anayeitwa Lt. Nchi nyingine zina Captain General kutokana cheo cha Capatin. Sasa Brigadier general ilitakiwa itokenane na cheo cha Brigadier ambacho Tanzania sasa hakipo. Ningeomba cheo hiki kirudishwe,
Ni maoni yangu tu hayo, na nimewahi kulitumikia JWTZ kwa ngazi ya chini sana; cheo changu cha mwisho kilikuwa LCPL. Tujenge jeshi letu.
Hii kauli ya kulitumikia taifa kwa uzalendo nadhani haistahili kwa miaka hii ya 90 - 2023 kwasababu watu wameingia jeshini hadi wanastaafu hakuna changamoto yoyote waliokumbana nayo. Wazalendo ni wale wa 1980s kipindi cha kumsaidia Samora Macheli dhidi ya Renamo na wale makamanda wa kipindi cha vita vya Kagera 1970s.
Kwa hiyo hili neno Uzalendo lisitumike ilimradi tu
Kwanini unasema ni wazalendo hawa waliopo Dafur na Congo, Msumbiji.Huwezi amini Wazalendo wako Msumbiji hadi leo. Congo, Darfur nk. Karibuni wataanza kuwalinda Dp World watuendeshee bandari kama wanavyo walinda kule Loliondo kutusaidia kuendesha utalii.. Mambo ni mengi.
WejamaaaaaIlkuaje adi una staafu bado una fyeka na kufagia kambini
Tujuze maraiaKwamba kuwe na brigedia alafu kuwe na brigedia generali???
Vipi waongeze na 'kanali jenerali '??
Hivi unajua kuwa meja ni mkubwa kwa luteni lakini luteni jenerali ni mkubwa kwa meja generali??
Yaani umesema yoote ....anzia Major kwenda juu Yaani wengi mnoo mnoo ....nilienda jkt mlalakuwa sikuamini kuna major kama 30 hivi pale tu .....just a siku hizi Brogadier wanapandishwa 21 kwa mpigo.....Canal usiseme wako kibao nadhani jeshi limekua tofauti Enzi zile ......wasipoangalia wapiganaji watakuwa hakuna wote officers.....Mimi ninawaza imekuaje nchi yetu imekuwa na Majenerali na Makanali weeeengi tofauti na miaka ya 80 na 90. Nakumbuka nilipokuwa jkt oljoro sikuwahi kumuona kanali hadi namaliza mafunzo yangu na kwenda chuo kikuu.
Lakini leo vijana wetu wanapokwenda huko ukiongea nao utasikia baba leo tulitembelewa na wakubwa makanali, mara Brigedia . Haya huko barabarani unakutana na magari meeengi yana nyota idadi tofauti.
Haya kwenye sherehe za kitaifa unaona wajeshi weeeeeengi wenye vitambaa vyekundu kwenye kola, siku moja niliona wamekaa pamoja kwa harakaharaka idadi yao ilikuwa sio chini ya 150.
Nyerere hakutoa mavyeo mengi hivyo tena kipindi cha vita na Uganda, nawaza hivi ile vita ingekuwa ni miaka hii ya 2010... Si wangepewa hadi wafike 2000.
Taasisi yoyote yenye ufanisi na iliyo thabiti lazima hierarchy yake iwe imebana kisawasawa .
Yaani umesema yoote ....anzia Major kwenda juu Yaani wengi mnoo mnoo ....nilienda jkt mlalakuwa sikuamini kuna major kama 30 hivi pale tu .....just a siku hizi Brogadier wanapandishwa 21 kwa mpigo.....Canal usiseme wako kibao nadhani jeshi limekua tofauti Enzi zile ......wasipoangalia wapiganaji watakuwa hakuna wote officers.....
Kweli kabisa ....Steve Nyèrere ana nguvu zaidi ya Prof ndalichako na wizard yake yoteCcm kuna vyeo vinazidi waziri yani maulidi kitenge kuwa ccm anauwezo kuwa na nguvu kuliko waziri wa masoko ya nje