Tanzania ilibadilisha cheo cha Brigadier kutoka Senior officer na kuwa General Oficer na kuweka pengo kubwa sana kati ya senior officers na general officers. Kwa mfano ukisikia Major General basi kunakuwa na officer anayeitwa Major, Ukisikia Lt General ina maana kuna officer anayeitwa Lt. Nchi nyingine zina Captain General kutokana cheo cha Capatin. Sasa Brigadier general ilitakiwa itokenane na cheo cha Brigadier ambacho Tanzania sasa hakipo. Ningeomba cheo hiki kirudishwe,
Ni maoni yangu tu hayo, na nimewahi kulitumikia JWTZ kwa ngazi ya chini sana; cheo changu cha miwsho kilikuwa LCPL. Tujengi jeshi letu.
Sawa.Naamini watakusikia ombi lako.Siasa ilivyoingizwa kwenye jeshi ndipo matata yalianza.Tulia uperuzi.Tanzania ilibadilisha cheo cha Brigadier kutoka Senior officer na kuwa General Oficer na kuweka pengo kubwa sana kati ya senior officers na general officers. Kwa mfano ukisikia Major General basi kunakuwa na officer anayeitwa Major, Ukisikia Lt General ina maana kuna officer anayeitwa Lt. Nchi nyingine zina Captain General kutokana cheo cha Capatin. Sasa Brigadier general ilitakiwa itokenane na cheo cha Brigadier ambacho Tanzania sasa hakipo. Ningeomba cheo hiki kirudishwe,
Ni maoni yangu tu hayo, na nimewahi kulitumikia JWTZ kwa ngazi ya chini sana; cheo changu cha miwsho kilikuwa LCPL. Tujengi jeshi letu.
Naam umeweka kidogo nilichotaka kuandika ila kichuguu hii thread ni kama anatupima hivi.Muundo wa vyeo unatokana na mambo yafuatayo:-
1. Idadi ya askari katika jeshi
2. Mahitaji ya jeshi
Huwezi kutaka muundo wa jeshi la Tanzania lenye askari wasiozidi hata 100,000 ufanane na muundo wa jeshi la Marekani lenye wanajeshi zaidi ya 1,000,000.
Ili kuliongoza jeshi na kusimamia utendaji kazi wake maafisa wa ngazi za juu huwekwa kwa idadi iliyodhibitiwa ili kuepuka idadi yao kuwa ndogo au kubwa zaidi kuliko mahitaji ya jeshi.
Sidhani Saaana katika hilo kwasababu conventional war zimekuwa nadra sana japo kuna utaratibu ila naona kama ulichokisema kina hakisi uhalisia.Brigadier Moses Nauye
Bregadier General Hashim Mbita
miaka ya mbele huenda tutakuwa na ma Generali wakali wa GPA za Chuoni badala ya za kwenye medani
Vijana wanafight wammalize Advance wadumbukie huko mana Elimu shule itawapa magamba ila sio Elimu Jeshi. 😂Brigadier Moses Nauye
Bregadier General Hashim Mbita
miaka ya mbele huenda tutakuwa na ma Generali wakali wa GPA za Chuoni badala ya za kwenye medani
Sababu za kufutwa ni zipi ?....halafu hicho cheo nakiona zaidi kwenye majeshi ya US au tuliiga muundo wao huko ?Tanzania ilibadilisha cheo cha Brigadier kutoka Senior officer na kuwa General Officer na hivyo kuweka pengo kubwa sana kati ya senior officers na general officers.
Kwa mfano unaposikia Major General basi kunakuwa na officer anayeitwa Major, Ukisikia Lt General ina maana kuna officer anayeitwa Lt. Nchi nyingine zina Captain General kutokana cheo cha Capatin. Sasa Brigadier general ilitakiwa itokenane na cheo cha Brigadier ambacho Tanzania sasa hakipo. Ningeomba cheo hiki kirudishwe,
Ni maoni yangu tu hayo, na nimewahi kulitumikia JWTZ kwa ngazi ya chini sana; cheo changu cha mwisho kilikuwa LCPL. Tujenge jeshi letu.
Kuwapo kwa Brigadier General bila kuwa na Brigadier siyo sahihi. Tuliiga Marekani wakati tuna mfumo wa kiingerezaKwamba kuwe na brigedia alafu kuwe na brigedia generali???
Vipi waongeze na 'kanali jenerali '??
Hivi unajua kuwa meja ni mkubwa kwa luteni lakini luteni jenerali ni mkubwa kwa meja generali??
Brigedia general inatumika mataifa mengi zaidi. Brigedia ni ya waingereza peke yao na nchi chache zilizowafuata. Hata Canada ambao mfalme wa uingereza ndio mkuu wa nchi wanatumia brigedia jenerali.Kuwapo kwa Brigadier General bila kuwa na Brigadier siyo sahihi. Tuliiga Marekani wakati tuna mfumo wa kiingereza
Kikirudishwa bandari wamerudisha pia ? Au ndio imetoka hiyo ? Bring back TanganyikaTanzania ilibadilisha cheo cha Brigadier kutoka Senior officer na kuwa General Officer na hivyo kuweka pengo kubwa sana kati ya senior officers na general officers.
Kwa mfano unaposikia Major General basi kunakuwa na officer anayeitwa Major, Ukisikia Lt General ina maana kuna officer anayeitwa Lt. Nchi nyingine zina Captain General kutokana cheo cha Capatin. Sasa Brigadier general ilitakiwa itokenane na cheo cha Brigadier ambacho Tanzania sasa hakipo. Ningeomba cheo hiki kirudishwe,
Ni maoni yangu tu hayo, na nimewahi kulitumikia JWTZ kwa ngazi ya chini sana; cheo changu cha mwisho kilikuwa LCPL. Tujenge jeshi letu.
Inawezekana huelewi vizuri kwa vile majeshi mengi huruka baadhi ya vyeo na hasa cha brigadier na kurukia brigadier general. Kati ya 2nd Lt hadi Brigadier kuna junior officers, senior officers, na superior officers (wale wenye vitambaa vyekundu kwenye collar (gorgets)) lakini hawana mikasi mabegani. Kuanzia Brigadier General hadi General hao ni General officers. General officer wa chini ya kabla ya full General, hu-derive vyeo vyao kutokana na vile vya Junior hadi superior officers, ingawa vingi huachwa kwa mfano Captain General na Colonel General huachwa na majeshi mengi sana. Uingereza huacha pia cheo cha Grigadier General. Collar zao zinakuwa na mikasi pamoja na nyota za vyeo vya chini ingawa kwa mipangilia kinyume. Brigadier general ndiye anaaza chini, akifuatiwa na Colonel General, akifuatiwa na Major General, aklifuatiwa na Cpatin General na kuishia na Luteni General kabla ya kuwa full Genefral. Majenerali wa Marekani huwa wanajulikana kama 1-star General, 2-Star General, hadi 4-star general wala hawatumii Mikasi na Coat of Arms.Brigedia general inatumika mataifa mengi zaidi. Brigedia ni ya waingereza peke yao na nchi chache zilizowafuata. Hata Canada ambao mfalme wa uingereza ndio mkuu wa nchi wanatumia brigedia jenerali.
BTW ukiwa na brigedia hauwezi kuwa na brigedia generali. Basically hicho ni cheo chenye majukumu yanayofanana.