Cheo cha mwenyekiti wa tawi CCM kina fursa gani?

Cheo cha mwenyekiti wa tawi CCM kina fursa gani?

ngawia

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
849
Reaction score
876
Hiki cheo kina fursa gani maana nimeona kwenye tawi fulani jirani na home kulikuwa na msuguano kwelikweli.
 
Fursa kubwa ya cheo hiki ni kuvaa kofia, tshirts na kanga za kijani. Hela unakuwa unazisoma gazetini tu
 
Hiki cheo kina fusa gani maana nimeona kwenye tawi fulani jirani na home kulikuwa na msuguano kwelikweli.
Suguaneni nyie msiojielewa wakati wenye chama chao wanakula mema ya nchi.
 
Hao ndio wajumbe wenyewe, utambulisho wa mkazi kama mikopo, viwanja, kesi za mipaka, bila hao hupati udiwani au ubunge.

USSR
 
Unakuwa mjumbe kwenye vikao mbalimbali vya tawi na wilayani hivyo elfu 10 au 20 hazikauki.

Unawakumbuka wale wajumbe waliompa Mashinji na Pasco kula moja moja? Ndio hawa sasa.
 
Huwa wanalipwa buku 10 kwa mwezi..pia wana viposho posho vya hapa napale kwenye vikoa vya chama.

Pia ndio wajumbe wilaya ndio wajumbe kupata madiwani na wabunge.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom