ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Uwepo wa Cheo Cha Naibu Rais(Deputy President) na sio Makamu Rais (Vice president) kimeendelea kuwa Kaa la moto kwenye Uongozi wa Nchi ya Kenya Kwa kuzuia mizozo ya mara Kwa mara.
Huko Kenya Cheo hicho ni kina sehemu ya Madaraka ya kiutendaji tofauti na Tanzania Hali ambayo imekuwa inachangia mizozo ya mara Kwa mara.
Wakati wa Uhuru Kenyatta, William Ruto aliyekuwa Naibu Rais alikuwa akilalamika kwamba mamlaka yake yameporwa na anatendewa isivyo heshima.
Sasa hivi Ruto ni Rais ila wamekuwa kwenye mivutano baridi na Naibu Rais wake huko wapambe wakiendelea kuchochea moto.
Ikumbukwe Ruto alilazimika kuunda Cheo Cha Waziri Mkuu kinyemela Ili tuu awese kupata mtu wa kumtuma Kwa uhuru zaidi tofauti na Naibu Wake ambae inakuwa kama mshindani wake na mviziaji wa Cheo Cha Urais.
View: https://www.instagram.com/p/C7Lio_Uh9zw/?igsh=MWRkOGVtMnh3enp6cg==
My Take
Hizi ndio Nchi Machadema Huwa wanataka tupige mifano yake 😁😁😁😁
Tanzania ni Moja ya Nchi Zenye Katiba Bora sana Afrika isipokuwa Machadema Wameshindwa Ushawishi huko Kwa Wananchi wanasingizia na kupotosha.
View: https://www.instagram.com/p/C7LlWKwxit8/?igsh=MXJsdXI0NDFldGZpZA==