Cheo cha 'Naibu Rais' chaendelea kuwatesa Wakenya. Inasemekana Rais Ruto hapatani na Naibu wake

..hata Magufuli na Samia walikuwa hawaivi.

..Na hali hiyo ndio ilipelekea VP Samia asishirikishwe wakati wa kumuuguza Magufuli.
Labda kama walikuwa hawaivi kimitazamo lakini cheo Cha VP Tanznaia ni teethless na hakina maana tofauti na huko Kwa jirani
 
Kuna uafadhari sana

hakuna siajabu hata ni mbaya zaidi, tofauti ya kenya na tanzagiza ni freedom of the press, kenya media wanaweza kuandika chochote kumhusu raisi wao kama walivyofanya sasa hivi na hakuna kitakachowapata, tanzagiza gazeti liliandika tu polls kuhusu uchumi chini ya maraisi waliopita kesho yake wakaomba msamaha ndiyo waandike kumhusu raisi na makandokando yake na waachwe salama?
 
Uwepo wa Cheo Cha Naibu Rais(Deputy President) na sio Makamu Rais (Vice president) kimeendelea kuwa Kaa la moto kwenye Uongozi wa Nchi ya Kenya Kwa kuzuia mizozo ya mara Kwa mara.

Huko Kenya Cheo hicho ni kina sehemu ya Madaraka ya kiutendaji tofauti na Tanzania Hali ambayo imekuwa inachangia mizozo ya mara Kwa mara.

Wakati wa Uhuru Kenyatta, William Ruto aliyekuwa Naibu Rais alikuwa akilalamika kwamba mamlaka yake yameporwa na anatendewa isivyo heshima.

Sasa hivi Ruto ni Rais ila wamekuwa kwenye mivutano baridi na Naibu Rais wake huko wapambe wakiendelea kuchochea moto.

Ikumbukwe Ruto alilazimika kuunda Cheo Cha Waziri Mkuu kinyemela Ili tuu awese kupata mtu wa kumtuma Kwa uhuru zaidi tofauti na Naibu Wake ambae inakuwa kama mshindani wake na mviziaji wa Cheo Cha Urais.

View: https://www.instagram.com/p/C7Lio_Uh9zw/?igsh=MWRkOGVtMnh3enp6cg==

My Take
Hizi ndio Nchi Machadema Huwa wanataka tupige mifano yake 😁😁😁😁

Tanzania ni Moja ya Nchi Zenye Katiba Bora sana Afrika isipokuwa Machadema Wameshindwa Ushawishi huko Kwa Wananchi wanasingizia na kupotosha.

View: https://www.instagram.com/p/C7LlWKwxit8/?igsh=MXJsdXI0NDFldGZpZA==

Mwendo wa ruto na huyo makamu wake lazima wangegombana. Huyo makamu anafanya mambo utafikiri yeye ndio rais kwani anajiona mkikuyu kabila kubwa na lenye nguvu kuliko yote kenya hivyo ruto ndio afuate anachosema yeye. Naweza sema ni mtu arrogant na mwenye tabia ya ubabe na labda dharau.
 
Uwepo wa Cheo Cha Naibu Rais(Deputy President) na sio Makamu Rais (Vice president) kimeendelea kuwa Kaa la moto kwenye Uongozi wa Nchi ya Kenya Kwa kuzuia mizozo ya mara Kwa mara.

Huko Kenya Cheo hicho ni kina sehemu ya Madaraka ya kiutendaji tofauti na Tanzania Hali ambayo imekuwa inachangia mizozo ya mara Kwa mara.

Wakati wa Uhuru Kenyatta, William Ruto aliyekuwa Naibu Rais alikuwa akilalamika kwamba mamlaka yake yameporwa na anatendewa isivyo heshima.

Sasa hivi Ruto ni Rais ila wamekuwa kwenye mivutano baridi na Naibu Rais wake huko wapambe wakiendelea kuchochea moto.

Ikumbukwe Ruto alilazimika kuunda Cheo Cha Waziri Mkuu kinyemela Ili tuu awese kupata mtu wa kumtuma Kwa uhuru zaidi tofauti na Naibu Wake ambae inakuwa kama mshindani wake na mviziaji wa Cheo Cha Urais.

View: https://www.instagram.com/p/C7Lio_Uh9zw/?igsh=MWRkOGVtMnh3enp6cg==

My Take
Hizi ndio Nchi Machadema Huwa wanataka tupige mifano yake 😁😁😁😁

Tanzania ni Moja ya Nchi Zenye Katiba Bora sana Afrika isipokuwa Machadema Wameshindwa Ushawishi huko Kwa Wananchi wanasingizia na kupotosha.

View: https://www.instagram.com/p/C7LlWKwxit8/?igsh=MXJsdXI0NDFldGZpZA==

Pengine hoja yako ingekuwa na mashiko zaidi iwapo usingewaingiza CHADEMA.
 
Tanzania Makamu Wa Rais Ana Nguvu Yoyote Kwenye Maamuzi
 
Unafanya upotoshaji, hata cheo cha naibu Rais wa Kenya sio cha utendaji ni kama vile tu makamu wa hapa tofauti ni kwamba Kenya Naibu wa Rais hawezi kuondolewa kwa njia yoyote ile na Rais au chama chake.
Point ni urafiki wa mashaka,kati ya President na deputy President.
Kama waliungana kimaslahi yenye hidden agenda basi italeta mtafaruko.
Ila kama ni uchonganishi tokea kwa watu wasioitakia mafanikio serikali ya Rutto,basi watashindwa vibaya sana.
 
Uwepo wa Cheo Cha Naibu Rais(Deputy President) na sio Makamu Rais (Vice president) kimeendelea kuwa Kaa la moto kwenye Uongozi wa Nchi ya Kenya Kwa kuzuia mizozo ya mara Kwa mara.

Huko Kenya Cheo hicho ni kina sehemu ya Madaraka ya kiutendaji tofauti na Tanzania Hali ambayo imekuwa inachangia mizozo ya mara Kwa mara.

Wakati wa Uhuru Kenyatta, William Ruto aliyekuwa Naibu Rais alikuwa akilalamika kwamba mamlaka yake yameporwa na anatendewa isivyo heshima.

Sasa hivi Ruto ni Rais ila wamekuwa kwenye mivutano baridi na Naibu Rais wake huko wapambe wakiendelea kuchochea moto.

Ikumbukwe Ruto alilazimika kuunda Cheo Cha Waziri Mkuu kinyemela Ili tuu awese kupata mtu wa kumtuma Kwa uhuru zaidi tofauti na Naibu Wake ambae inakuwa kama mshindani wake na mviziaji wa Cheo Cha Urais.

View: https://www.instagram.com/p/C7Lio_Uh9zw/?igsh=MWRkOGVtMnh3enp6cg==

My Take
Hizi ndio Nchi Machadema Huwa wanataka tupige mifano yake 😁😁😁😁

Tanzania ni Moja ya Nchi Zenye Katiba Bora sana Afrika isipokuwa Machadema Wameshindwa Ushawishi huko Kwa Wananchi wanasingizia na kupotosha.

View: https://www.instagram.com/p/C7LlWKwxit8/?igsh=MXJsdXI0NDFldGZpZA==

View: https://www.instagram.com/p/DAKwP6FCQc2/?igsh=MTNjeml5NmU0ZGhzcg==
 
Back
Top Bottom