ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #21
Labda kama walikuwa hawaivi kimitazamo lakini cheo Cha VP Tanznaia ni teethless na hakina maana tofauti na huko Kwa jirani..hata Magufuli na Samia walikuwa hawaivi.
..Na hali hiyo ndio ilipelekea VP Samia asishirikishwe wakati wa kumuuguza Magufuli.
Kuna uafadhari sanana unafikiri tanzagiza hali ni tofauti ?
πππππππππRole models wa CHADEMA karibu wote huwa ni hovyo. Kuna role model wao mwingine Hichilema wa Zambia ambaye tayari kashaonyesha kufeli kabisa.
Kuna uafadhari sana
Mwendo wa ruto na huyo makamu wake lazima wangegombana. Huyo makamu anafanya mambo utafikiri yeye ndio rais kwani anajiona mkikuyu kabila kubwa na lenye nguvu kuliko yote kenya hivyo ruto ndio afuate anachosema yeye. Naweza sema ni mtu arrogant na mwenye tabia ya ubabe na labda dharau.Uwepo wa Cheo Cha Naibu Rais(Deputy President) na sio Makamu Rais (Vice president) kimeendelea kuwa Kaa la moto kwenye Uongozi wa Nchi ya Kenya Kwa kuzuia mizozo ya mara Kwa mara.
Huko Kenya Cheo hicho ni kina sehemu ya Madaraka ya kiutendaji tofauti na Tanzania Hali ambayo imekuwa inachangia mizozo ya mara Kwa mara.
Wakati wa Uhuru Kenyatta, William Ruto aliyekuwa Naibu Rais alikuwa akilalamika kwamba mamlaka yake yameporwa na anatendewa isivyo heshima.
Sasa hivi Ruto ni Rais ila wamekuwa kwenye mivutano baridi na Naibu Rais wake huko wapambe wakiendelea kuchochea moto.
Ikumbukwe Ruto alilazimika kuunda Cheo Cha Waziri Mkuu kinyemela Ili tuu awese kupata mtu wa kumtuma Kwa uhuru zaidi tofauti na Naibu Wake ambae inakuwa kama mshindani wake na mviziaji wa Cheo Cha Urais.
View: https://www.instagram.com/p/C7Lio_Uh9zw/?igsh=MWRkOGVtMnh3enp6cg==
My Take
Hizi ndio Nchi Machadema Huwa wanataka tupige mifano yake ππππ
Tanzania ni Moja ya Nchi Zenye Katiba Bora sana Afrika isipokuwa Machadema Wameshindwa Ushawishi huko Kwa Wananchi wanasingizia na kupotosha.
View: https://www.instagram.com/p/C7LlWKwxit8/?igsh=MXJsdXI0NDFldGZpZA==
Pengine hoja yako ingekuwa na mashiko zaidi iwapo usingewaingiza CHADEMA.Uwepo wa Cheo Cha Naibu Rais(Deputy President) na sio Makamu Rais (Vice president) kimeendelea kuwa Kaa la moto kwenye Uongozi wa Nchi ya Kenya Kwa kuzuia mizozo ya mara Kwa mara.
Huko Kenya Cheo hicho ni kina sehemu ya Madaraka ya kiutendaji tofauti na Tanzania Hali ambayo imekuwa inachangia mizozo ya mara Kwa mara.
Wakati wa Uhuru Kenyatta, William Ruto aliyekuwa Naibu Rais alikuwa akilalamika kwamba mamlaka yake yameporwa na anatendewa isivyo heshima.
Sasa hivi Ruto ni Rais ila wamekuwa kwenye mivutano baridi na Naibu Rais wake huko wapambe wakiendelea kuchochea moto.
Ikumbukwe Ruto alilazimika kuunda Cheo Cha Waziri Mkuu kinyemela Ili tuu awese kupata mtu wa kumtuma Kwa uhuru zaidi tofauti na Naibu Wake ambae inakuwa kama mshindani wake na mviziaji wa Cheo Cha Urais.
View: https://www.instagram.com/p/C7Lio_Uh9zw/?igsh=MWRkOGVtMnh3enp6cg==
My Take
Hizi ndio Nchi Machadema Huwa wanataka tupige mifano yake ππππ
Tanzania ni Moja ya Nchi Zenye Katiba Bora sana Afrika isipokuwa Machadema Wameshindwa Ushawishi huko Kwa Wananchi wanasingizia na kupotosha.
View: https://www.instagram.com/p/C7LlWKwxit8/?igsh=MXJsdXI0NDFldGZpZA==
Ni kawaida sana kwenye coalition politics. Ila sikulaumu kwa sababu hauna mifano ya aina nyingine ya uongozi ukiacha unayoiona kila siku so uelewa wako sio mpana.
Point ni urafiki wa mashaka,kati ya President na deputy President.Unafanya upotoshaji, hata cheo cha naibu Rais wa Kenya sio cha utendaji ni kama vile tu makamu wa hapa tofauti ni kwamba Kenya Naibu wa Rais hawezi kuondolewa kwa njia yoyote ile na Rais au chama chake.
Uwepo wa Cheo Cha Naibu Rais(Deputy President) na sio Makamu Rais (Vice president) kimeendelea kuwa Kaa la moto kwenye Uongozi wa Nchi ya Kenya Kwa kuzuia mizozo ya mara Kwa mara.