Cheo cha naibu waziri mkuu ni chakuombea kura tu

Cheo cha naibu waziri mkuu ni chakuombea kura tu

PERAMIHO YETU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
6,288
Reaction score
17,333
Hiki CHEO kimekaa kimkakati SANA kwan kipo kwa matakwa ya mtu Fulani sababu hakipo katika KATIBA

Sasa ndugu zangu wasukuma baada ya kifo cha JPM walivunjika moyo sana kwan kifo. Chake kilizua maswali mengi SANA

Na kama mjuavyo wasukuma n robo ya watanzania hvyo kura NYINGI zpo huko na CCM wa kizimkaz na chalonze waliliona Hilo ili kuwapumbaza watan zangu akateuliwa DOTTO Lengo kupata kura na ikafanikiwa

Baada ya mafanikio wamekitoa CHEO sasa wametupwa ajaye anakazi nyingine kwa wasukuma kuwahamasisha waichague CCM

Ushauri wangu WASUKUMA msimubal kupumbazwa tena nyie ndyo wenye maamuz nan awe RAIS nchi hii

AU NASEMA UONGO NDUGU ZANGUUUU
 
Back
Top Bottom