K kokaumba JF-Expert Member Joined Sep 12, 2016 Posts 398 Reaction score 177 Oct 15, 2022 #1 Wanagenzi ni kweli kwamba kuna cheo kipya cha muundo kwa waalimu wenye masters degree.
CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,781 Reaction score 6,139 Oct 15, 2022 #2 Kwanini usiulize huko ulikosikia
K kokaumba JF-Expert Member Joined Sep 12, 2016 Posts 398 Reaction score 177 Oct 15, 2022 Thread starter #3 CK Allan said: Kwanini usiulize huko ulikosikia Click to expand... Hili ni jukwaa linalokutanisha wataalamu wa kada husika na viongozi wanaohusika na mada tajwa. Hivyo si lazima uchangie wakati mwingine baki kuwa mtazamaji.
CK Allan said: Kwanini usiulize huko ulikosikia Click to expand... Hili ni jukwaa linalokutanisha wataalamu wa kada husika na viongozi wanaohusika na mada tajwa. Hivyo si lazima uchangie wakati mwingine baki kuwa mtazamaji.
selemangrace346 JF-Expert Member Joined Sep 26, 2018 Posts 463 Reaction score 634 Oct 15, 2022 #4 kokaumba said: Wanagenzi ni kweli kwamba kuna cheo kipya cha muundo kwa waalimu wenye masters degree. Click to expand... This is knew to me na kwanini iwe kwa walimu tu.
kokaumba said: Wanagenzi ni kweli kwamba kuna cheo kipya cha muundo kwa waalimu wenye masters degree. Click to expand... This is knew to me na kwanini iwe kwa walimu tu.
K kokaumba JF-Expert Member Joined Sep 12, 2016 Posts 398 Reaction score 177 Oct 15, 2022 Thread starter #5 selemangrace346 said: This is knew to me na kwanini iwe kwa walimu tu. Click to expand... Ndio sababu nikaja jukwaani ikiwa kuna yeyote naye ana hii taarifa...kimsingi nimeskia kuna mwongozo uliotolewa.
selemangrace346 said: This is knew to me na kwanini iwe kwa walimu tu. Click to expand... Ndio sababu nikaja jukwaani ikiwa kuna yeyote naye ana hii taarifa...kimsingi nimeskia kuna mwongozo uliotolewa.
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Oct 15, 2022 #6 selemangrace346 said: This is knew to me na kwanini iwe kwa walimu tu. Click to expand... Hapa umeandika nini mwalimu?
selemangrace346 said: This is knew to me na kwanini iwe kwa walimu tu. Click to expand... Hapa umeandika nini mwalimu?
Fund man JF-Expert Member Joined Feb 24, 2021 Posts 3,629 Reaction score 4,831 Oct 15, 2022 #7 kyagata said: Hapa umeandika nini mwalimu? Click to expand... ππππππππ
mama D JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 19,981 Reaction score 35,581 Oct 15, 2022 #8 πΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ