maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Pia usisahau....... CCM yote.... wote waliopitishwa kinguvu kwenye uchafuzi wa 2025, wanatamani aendelee ili wasipoteze nafasi zao. Kwa kifupi wote wanajua kuwa hana uwezo kabisa na wanajua juu ya mauaji yaliyofanyika, lakini wanaona akijiuzulu na uchaguzi kurudiwa, wengi hawatatoboa.Nimeuliza hili swali sababu dalili zilishaonekana kama mama alikuwa hapendwi na baadhi ya watu ingawa idadi imeongezeka mara dufu
Hivi angeamua kujikalia pembeni kama Majariwa angepungukiwa na nini tofauti anavyoishi kwa kukosa amani ya moyo na kusakamwa na kila mtu?