M Mshasha Member Joined Mar 19, 2015 Posts 13 Reaction score 2 Aug 4, 2016 #1 Wakuu naomba kujuzwa nn maana ya cheque ku mature .
kambitza JF-Expert Member Joined Jul 24, 2013 Posts 2,045 Reaction score 1,320 Aug 4, 2016 #2 Mshasha said: Wakuu naomba kujuzwa nn maana ya cheque ku mature . Click to expand... Ni Ile pesa uliyolipwa kwa cheque inapokuwa tayari kuanza kutumika baada ya taratibu zote za kibenki kukamilika. Ikiwa anayekulipa mpo bank tofauti Inachukua siku nne, mkiwa Bank moja ni muda huo huo. Sijaeleza kitaalamu ni uzoefu tu.
Mshasha said: Wakuu naomba kujuzwa nn maana ya cheque ku mature . Click to expand... Ni Ile pesa uliyolipwa kwa cheque inapokuwa tayari kuanza kutumika baada ya taratibu zote za kibenki kukamilika. Ikiwa anayekulipa mpo bank tofauti Inachukua siku nne, mkiwa Bank moja ni muda huo huo. Sijaeleza kitaalamu ni uzoefu tu.
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,929 Reaction score 8,327 Aug 4, 2016 #3 mpunga ukiwa tayari kwa mlipwaji kuutumia baada ya process za kibenk
Inamonga JF-Expert Member Joined Jun 25, 2016 Posts 779 Reaction score 474 Aug 5, 2016 #4 Ni tarehe ambayo benki wanatakiwa wakulipe pesa iliyo andikwa kwenye cheque..