Cheque ku-mature ina maana gani?

Cheque ku-mature ina maana gani?

Wakuu naomba kujuzwa nn maana ya cheque ku mature .
Ni Ile pesa uliyolipwa kwa cheque inapokuwa tayari kuanza kutumika baada ya taratibu zote za kibenki kukamilika.

Ikiwa anayekulipa mpo bank tofauti Inachukua siku nne, mkiwa Bank moja ni muda huo huo.

Sijaeleza kitaalamu ni uzoefu tu.
 
mpunga ukiwa tayari kwa mlipwaji kuutumia baada ya process za kibenk
 
Ni tarehe ambayo benki wanatakiwa wakulipe pesa iliyo andikwa kwenye cheque..
 
Back
Top Bottom