Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
vipi mtu bado hajarambwa tu?....
Unamaana ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi mtu bado hajarambwa tu?....
Nilizungumzia specific move,nikiangalia mpira siangalii mchezaji mwenye mpira tu bali naangalia na movement za wachezaji wengine wanaokuwa kwenye nafasi nzuri ya kupokea pasi.
Kwahio pale ni kwamba kuna mtu alikuwa kwenye full speed kushoto kama angeingiziwa mpira alikuwa kwenye nafasi nzuri sana ya kufanya shambulizi.
mambo ya arsenal kwenye swala la kusoma pasi iende wapi si unajua lool.
Rev Masa yupo jamani???:laugh::laugh::laugh:
Unamaana ipi?
Nipo kijana nasubiria fungua champaigne!
Go Big Ben and The American Team~Steelers!.Please remember that it is a super bowl sunday and my prediction is black and yellow.
YouTube - Wiz Khalifa - Black And Yellow [Official Music Video]
Kumbe wewe ni shabiki tu hujui mpira na mbinu zake! ila kwa kelele huna mpinzani endelea kufurahisha jamvi
mmmhhh hiyo tutakunywa wote.....l.o.l:laugh::laugh:
aaaah! rev..hawajafungana?
mmmhhh hiyo tutakunywa wote.....l.o.l:laugh::laugh:
Wala usijali ila usimuweke hii chungaji majaribuni
ndio maana nakwambia wote tunaangalia mpira tofauti na kushangilia timu tofauti kutokana na style tofauti.
wewe unapenda butua butua ya chelsea hili mpate goli ,mimi napenda pasi za arsenal hili tupate goli.
ha ha ha ha,majaribu ni kipimo cha uaminifu wa kiapo chako na nguvu yako.....nitajivunia sana kukuangusha kimajaribu.......nikikupata huko hata guts za kuja kwa thread ya arsenal hutakuwa nazo......lol
kuna jukwaa husika kule madogo sio hapa... sawa? this is a soccer match thread and not lavidavi comboha ha ha ha,majaribu ni kipimo cha uaminifu wa kiapo chako na nguvu yako.....nitajivunia sana kukuangusha kimajaribu.......nikikupata huko hata guts za kuja kwa thread ya arsenal hutakuwa nazo......lol
ka nakuona vile shangwe zako za jana....
kuna jukwaa husika kule madogo sio hapa... sawa? this is a soccer match thread and not lavidavi combo