Cheslea vs Liverpool at the Stanfford Bridge

second half underway... bring suarez gademu!
 
Kumbe wewe ni shabiki tu hujui mpira na mbinu zake! ila kwa kelele huna mpinzani endelea kufurahisha jamvi
 
ndio maana nakwambia wote tunaangalia mpira tofauti na kushangilia timu tofauti kutokana na style tofauti.

wewe unapenda butua butua ya chelsea hili mpate goli ,mimi napenda pasi za arsenal hili tupate goli.
 
that was dangerous
 
Wala usijali ila usimuweke hii chungaji majaribuni

ha ha ha ha,majaribu ni kipimo cha uaminifu wa kiapo chako na nguvu yako.....nitajivunia sana kukuangusha kimajaribu.......nikikupata huko hata guts za kuja kwa thread ya arsenal hutakuwa nazo......lol
 
ndio maana nakwambia wote tunaangalia mpira tofauti na kushangilia timu tofauti kutokana na style tofauti.

wewe unapenda butua butua ya chelsea hili mpate goli ,mimi napenda pasi za arsenal hili tupate goli.

Unaweza piga kelele kwa Drog, Nic ama Nando nataka fungua champagne! Ungekuwa basi Barca wale wana defense na pasi za kueleweka
 
ha ha ha ha,majaribu ni kipimo cha uaminifu wa kiapo chako na nguvu yako.....nitajivunia sana kukuangusha kimajaribu.......nikikupata huko hata guts za kuja kwa thread ya arsenal hutakuwa nazo......lol

Kumbe ndo mitego hiyo ngoja nimatafute mama mchunga
 
ha ha ha ha,majaribu ni kipimo cha uaminifu wa kiapo chako na nguvu yako.....nitajivunia sana kukuangusha kimajaribu.......nikikupata huko hata guts za kuja kwa thread ya arsenal hutakuwa nazo......lol
kuna jukwaa husika kule madogo sio hapa... sawa? this is a soccer match thread and not lavidavi combo
 
dogo ni wewe,usiite wanaume wenzio madogo,hata kule tunaongelea soka....na tukija huku hatunyimwi kuongea lolote.....wala sheria za JF hazijavunjwa,umeelewa dogo??:laugh::laugh::laugh:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…