Cheti cha chuo UDSM

Cheti cha chuo UDSM

Mwasubi

Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
15
Reaction score
0
Jamani naomba msaada kwa anayejua hili, ninahitaji kutumiwa cheti changu kutoka UDSMnaomba ushauri nifanyeje na niko mkoa wa mara. Kama kuna mtu anaufahamu anisaidie namna ya kufanya au kuniunganisha na mtu anayehusika. Asante wakuu
 
nenda chuoni ukakichukue, we umesoma miaka mitatu/minne sasa unashindwaje kufuata cheti!
 
Jamani naomba msaada kwa anayejua hili, ninahitaji kutumiwa cheti changu kutoka udsm naomba ushauri nifanyeje na niko mkoa wa mara. Kama kuna mtu anaufahamu anisaidie namna ya kufanya au kuniunganisha na mtu anayehusika. Asante wakuu
Conditions za kupewa cheti ni hizi hapa:-
1.Uwe na copy ya transcript..
2.Uwe na copy ya kitambulisho[kama huna basi pata barua ya utambulisho toka serikali za mitaa]..
3.Jaza form ya kuomba cheti inayopatikana utawala rum #108 ..
Ukiweza kumpata mtu ambaye unaweza kumpatia hivyo vitu basi wakati anajaza hiyo form ya kuomba cheti mwambie sehemu ya NAMNA YA KUKIPOKEA CHETI ajaze kuwa kinatumwa kwa Posta..
Hiki ndicho ninachoweza kukusaidia kwa sasa..
Ubarikiwe,mpendwa..
 
4.maji ya kunywa kwa ma ps elfu20
 
kitu cha msingi kama cheti chako cha elimu uliyoilipia mamilioni ..uliyouza usiku ili uwe macho kujisomea ..HAIYUMKINI UKIPATA AJIRA TU ITAKULAZIMU UKATWE MSHAHARA KUFIDIA DENI LAKO LA MKOPO WA ELIMU YA JUU (nakadiria ulioata mkopo)....
UNACHEZA KAMARI NA MAISHA YAKO MZEE Mwasubi usijaribu kuniaminisha kwamba kuna aina hii ya wasomi wetu nchini
 
Last edited by a moderator:

Wewe jamaa mimi ningekua nagawa uprofesa leo mimi ningekupa uwe profesa umefikiria vyema...

Mkuu kiufupi your a great thinker
 
Last edited by a moderator:
huyo utayemtuma hakikisha umempa barua ya uthibitisho wako kwamba unahitaji utumiwe iliyothibitishwa mahakamani na ina picha yako, cheti utatumiwa
 
hivi na mzumbe veti viko tayari au bado?
 
Back
Top Bottom