Cheti cha degree (mlimani) kikipotea huwa wanatoa kingine?

Cheti cha degree (mlimani) kikipotea huwa wanatoa kingine?

jinalako

Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
56
Reaction score
2
CHETI CHA DEGREE (MLIMANI) KIKIPOTEA HUWA WANATOA KINGINE?
na taratibu zikoje?
 
vyuo vyote duniani huwa wanatoa cheti kimoja tu cha original.. Watakupa copy tu kama wana huo utaratibu
 
vyuo vyote duniani huwa wanatoa cheti kimoja tu cha original.. Watakupa copy tu kama wana huo utaratibu

Umeongea point ndugu yangu. mlimani wanakupa kopi pia, lakini unatakiwa uwe na ripoti ya polisi na transcript..
 
poleee sana jomba transcript ndo unaruhusiwa kurenew almost mara tatu lakn cheti kinatolewa mara moja otherwise utapewa copy bt police verification ni mhimu na kama una haraka nacho andaa kabahasaha kadogo mambo yaende fasta
 
Back
Top Bottom