Cheti cha Emmanuel Kayumpu kutoka chuo cha Mzumbe kimeokotwa

Miss_Mariaah

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2022
Posts
2,176
Reaction score
4,979
Habari za muda wakuu;
Kuna Cheti cha huyu mtu kamaliza mzumbe 2018 kimeokotwa ...nashare hapa Kwa anayemfah amfahamishe.

 
Na yeye huko anaweza kua hana hata habari kapoteza maana toka akitie uvunguni hajakichungulia kama kipo toka hiyo 2018
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…