Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
Tafuta Muktasari wa KIkao cha familia kukuthibitisha kuwa mfuatiliaji, Nenda serikali za Mitaa wakupe barua ya kwenda RITA
Yeah, kama una kibali cha mazishi, hiyo death certificate unaipata chap chapPia ni vizuri kufuatilia kibali cha mazishi kama kipo. Ikiwa alifia hospitali, basi yumkini mwanafamilia mmoja alipewa hicho kibali.
Sasa kinapatikana Arusha katika duka la KASE STORE BOOKSHOP mtaa BOMA ROAD ELCT building. utakipata kwa shilingi alfu kumi tu. na si zaidi ya hapo...