Si niliwaambia ni mtoto wa kando wa Kaizer.................na pia dugu moja na charminglady
kuuthibitishia umma kuwa ni matumizi mabaya?
wewe utawekaje richeti ra kuzariwa hadharani?
duh kama vpo vyeti kama hvyo bac ni balaaa
Kijana kuanzia sasa uko chini ya urinzi kwa matumizi mabaya ya cheti cha kuzaliwa. Una masaa 24 kuanzia sasa ya kujisarimisha katika kituo cha polisi kilichopo karibu nawe.
We unaongea kama nani hapa? Mbona umechukua sauti ya Invisible? (Just kidding)