Siku moja mama mmoja alitoka kazini akamkuta mume wake katulia na ypu makini sana anaangalia cheti cha ndoa na mzungumzo yalikuwa kama ifuatavyo:
Mke:-Habari za jioni baba...
Mume:-Nzuri
Mke:-Mbona unaonekana unaangalia cheti cha ndoa?
Mume:-Naangalia kama kuna expire date.