Cheti cha NIDA na JKT vinatofautiana majina wakuu, nifanyeje

Mkuu nijuavyo mie deed poll sio kubadili majina tu, endapo nyaraka za mtu mmoja zina majina mawili tofauti anatakiwa kulikataa jina moja na kutumia jina aliloamua yeye kutoka moja ya nyaraka zake. Affidavit unakubali majina yote kuwa ni ya kwako ila kuna baadhi ya huduma huko mbeleni itamsumbua maana watahitaji asimame na jina moja na wala sio kutumia majina yote.
Mi mwanasheria, nancho mshauri nakielewa by proffessional deed poll ni documents ambayo inaandaliwa kubadilisha jina moja wapo kati ya matatu na kukana mengine au kubadili yote kama mtu atakavyo. Lakini affidavit inatumika kuhalalisha uhalali wa jina kwa matumizi endapo jina limeandikwa kimakosa. Kuandaa deed poll ina maana akane majina mengine na asajili jina jipya ndio maana ya kwenda ardhi kwa msajili. Lakin kesi ya ndugu yetu haihitaji kwenda mbali kote maana ni jina moja ndo linatofautiana na mengine, sio issue kubwa sana aandikiwe kiapo na kigongwe muhuri kuhalalisha majina yake na atapokelewa popote aendapo.
 
[emoji1666]
 
Nenda watu wakuchongee na kukutolea copy ka hyo original kabisa nenda kwa wa stationary wabobevu au uende mahakamani
 
Nawaza kwenda stationary mkuu lakin ,ila tatizo nawaza namba ile ....

Mfano ,unaweza badilisha jina kwenye Chet cha form four ,ila ile namba ya form four ikitupiwa mtandaoni itaonesha jina halisi ...

The same to Chet cha jkt ,pale Kuna namba ....
 
Hicho cheti Cha jkt it is possible maana kitatumika tu huko na kitaonyesha number
 
Daaa wakuu nimefuatilia ,nashauliwa kwenda makao makuu jkt ,Sasa Mimi Niko dar ,na makao makuu yamehamia dodoma .....

Changamaoto kweli kweli yani...
 
Habari wakuu.

Naomba kuuliza, wakati napita jkt mujibu wa Sheria walitupa vyet vya jkt lakini kwa bahati mbaya wakati wanatupa Mimi jina langu la mwisho katika majina matatu lilikosewa kipindi kilee, kutokana na Mambo mengi wakati natoka kambini nilishindwa kufuata taratibu kurekebisha jina la mwisho nikawa nimetoka hivo hivo jina limekosewa, haya mapuuza leo yananigharimu kwa kweli ...

Sasa majina yangu kwenye vyet vyote, nida, form four, Chet cha kuzaliwa, form six viko sawa, hio ya jkt ndio tofauti tu...

Hivi wakuu naweza kufanyaje kurekebisha hiki Chet, Kuna muda nataka kuenda kurekebisha mwenyewe nakumbuka kuwa namba yangu ya jeshi AT 346..! Itakuwa na jina la awali ...!

Hapo nifanyeje wakuu.
We chama gani?
 
Daaa wakuu nimefuatilia ,nashauliwa kwenda makao makuu jkt ,Sasa Mimi Niko dar ,na makao makuu yamehamia dodoma .....

Changamaoto kweli kweli yani...
Jaribu napo kwenda pale ilipokuwa makao makuu ya jkt mlalakua pale kawe nadhani napo wanaweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom