- Thread starter
- #21
mmmh! makubwa hayo!Labda kuna bashite anafanana na marehemu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmh! makubwa hayo!Labda kuna bashite anafanana na marehemu!
Wape wasaini in haki yao, napia nadhani ni kumbukumbu kwaoNiliyeratibu hayo mafunzo
Ahsante kwa ushauri wakoWape wasaini in haki yao, napia nadhani ni kumbukumbu kwao
Aisee!Usiwape ili tupunguze mabashite mtaani, anayepewa Cheti ni muhitimu pekee regardless ya aina ya Cheti husika
Sawa sawaWape tu, ni haki yao
Ahsante kwa mawazo yakoWape ni haki ya marehemu ndugu yao
Wataweka kama kumbukumbu kwa ajili ya ndugu yao.
Mfano kwa ajili ya watoto wa marehemu pia ndugu hushiriki kutia moyo na karo kwa ndugu yao, naomba uwape wee ukikaa nacho kitakusaidia nn
Turevedi mtani....Sasa wanataka hico cheti wakirithi ili nini??
Teh teh tehTeveenda vamuinge bashite
hahahahahahahahaahUsiwape maana hiyo ni nyaraka nyeti ya marehemu au waambie wakuhonge pesa[emoji23]
SawaaaaWapatie iko cheti maana maana alihitim mafunzo,, itakuwa vzr huenda wanahitaji kama kumbukumbu ya marehem.
hahahah, Niituka hahahaTeveenda vamuinge bashite
Ahsante kwa mawazo yako safi yaliyotuliaWAPE MKUU CHETI CHA NDUGU YAO WAKAWEKE KAMA KUMBUKUMBU. HATA MI NINGEKUDAI HADI MAHAKAMANI..
Wape cheti cha ndugu yao,watakushtaki.Hata hivyo haina haja ya kukaa nacho kwani hakitakusaidia chochote.WanaJF mrevedi?
Msaada tafadhali! kuna issue inanitatiza kidogo hapa kwenye kakibarua kangu (mama ntilie).
Kuna dada alipata mafunzo yake, akafauli vizuri sana, lakini bahati mbaya kabla vyeti havijatoka akawa amefariki dunia mwezi Me, 2017.
Ndugu zake wananidai cheti cha kuhitimu cha marehemu, na mie ninawaambia kuwa sio haki kutoa cheti cha marehemu kwa ndugu zake.
Msaada wenu wana griti thinka, nani yuko sahihi hawa ndugu wanaodai cheti cha mpendwa wao marehemu au mie ambaye ninawaambia cheti hakitolewi kwa ndugu wa marehemu kwa kuwa hakirithiwi?
Ahsanteni sana.