Cheti cha taaluma cha Marehemu

Usiwape ili tupunguze mabashite mtaani, anayepewa Cheti ni muhitimu pekee regardless ya aina ya Cheti husika
 
Wape ni haki ya marehemu ndugu yao
Wataweka kama kumbukumbu kwa ajili ya ndugu yao.
Mfano kwa ajili ya watoto wa marehemu pia ndugu hushiriki kutia moyo na karo kwa ndugu yao, naomba uwape wee ukikaa nacho kitakusaidia nn
 
Ahsante kwa mawazo yako
 
Wapatie iko cheti maana maana alihitim mafunzo,, itakuwa vzr huenda wanahitaji kama kumbukumbu ya marehem.
 
WAPE MKUU CHETI CHA NDUGU YAO WAKAWEKE KAMA KUMBUKUMBU. HATA MI NINGEKUDAI HADI MAHAKAMANI..
 
Hahaha wanyime hao usije kusaidia kuzalisha bashite mwingine
 
Wape cheti cha ndugu yao,watakushtaki.Hata hivyo haina haja ya kukaa nacho kwani hakitakusaidia chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…