DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
alimaanisha wakulima nao walau wawe na muwakilishi mjengoni gentleman,Siasa za Tanzania ngumu kuzielewa.
Mzee Cheyo Eti Anamuomba Magufuli Mbunge mmoja wa jimbo atakayesaidia kutetea wakulima wa kahawa.
π
πππalimaanisha wakulima nao walau wawe na muwakilishi mjengoni gentleman,
ama ilikua ni mbaya?π
Tapeli la kisiasaMzee wa kujaza watu mapesa mfukoni ni comedian mzuri sana.
Tuseme sio mbaya, Kwa akili timamu ambayo Haina uccm ndani yake. Je, magufuli ndo mtoaji/mgawaji wa wabunge wa majimbo.alimaanisha wakulima nao walau wawe na muwakilishi mjengoni gentleman,
ama ilikua ni mbaya?π
huna haja kumkasirikia mtu tena kwa maombi yake yasiyo kuhusu gentleman πTuseme sio mbaya, Kwa akili timamu ambayo Haina uccm ndani yake. Je, magufuli ndo mtoaji/mgawaji wa wabunge wa majimbo.
Hoja ni je, huyo mwombaji Naye ni ingia Toka kama wewe lady, watu wanaenda kwenye uchaguzi we unamuomba mgombea mbunge wa Jimbo??? Are you right upstair over there????huna haja kumkasirikia mtu tena kwa maombi yake yasiyo kuhusu gentleman π
Relax gentleman πHoja ni je, huyo mwombaji Naye ni ingia Toka kama wewe lady, watu wanaenda kwenye uchaguzi we unamuomba mgombea mbunge wa Jimbo??? Are you right upstair over there????
Relax gentleman
Ahaaaa unashindwa kuelewa kuwa Magufuli alikuwa anaiba kura?alimaanisha wakulima nao walau wawe na muwakilishi mjengoni gentleman,
ama ilikua ni mbaya?π
Cheyo ni msukuma tapeli.Alichowafanyia UDP pale Shamo Daslam mwaka 2006 walijuta.Siasa za Tanzania ngumu kuzielewa.
Mzee Cheyo Eti Anamuomba Magufuli Mbunge mmoja wa jimbo atakayesaidia kutetea wakulima wa kahawa.
π
Sijui kwa nini hua naamini mwenyekiti anayeng'ang'ania sana kukaa madarakani kwenye vyama vya upinzani ni mtu wa system...Hoja ni je, huyo mwombaji Naye ni ingia Toka kama wewe lady, watu wanaenda kwenye uchaguzi we unamuomba mgombea mbunge wa Jimbo??? Are you right upstair over there????
relax gentleman,Mkuu, achana na Tlaatlaah mana anasifia sifia tu Kila kitu, anasema eti alikua anaomba walau wakulima wawe na muwakilishi bungeni, kwani hawa wabunge tulionao sasa hawawakilishi Hadi wakulima. Hapo ndipo pakupimia ukubwa wa IQ yake.
Mkuu, Kuna watu wanajitafutia kula kwao Kwa mgongo wa vyama vya siasa. Na ndio wengi kama ulivyowatajaSijui kwa nini hua naamini mwenyekiti anayeng'ang'ania sana kukaa madarakani kwenye vyama vya upinzani ni mtu wa system...
Hebu mwone Lipumba,sijui Cheyo..Halafu wanakuja kutapeli wananchi.
Out of track. Ushatupa taulorelax gentleman,
huenda uelewa na kufahamu wako bado ni wa kukariri juu ya masuala haya muhimu sana ya sayansi ya siasa,
sio makosa yako na kamwe sikulaumu hata kidogo kwasabb naona unafundishika na huenda nikawa na mwanafunzi muerevu kwenye mambo haya ya siasa siku zijazo,
Muhimu zaidi usinilishe maneno π
relax gentleman πOut of track. Ushatupa taulo