Chezea mume wa mtu??

Chezea mume wa mtu??

huyo mwanamke atakuwa mchawi na hafai
kwani mume analindwa kwa ndumba?
huyo hana adabu na ataibiwa sana hadi akome
Lokissa mi naona mwishowe watahama maana imekuwa gumzo watu wanaonyeshana tuu cha kusema hawana labda akitokea mwenye pumzi amweleze jamaa hali halisi ila sijui kama ataeleweka.
 
The text reads somewhat true, but it happens (e.g., going mad) only to those who believe in magic powers, which is typical of African context. Consequently, your advice is practical and pertinent!! Men, why let such a stupid and inauspicious behaviour spoil your future and entire life? Please stop.

Keen my dear my self i use to see it on Nollywood movie but now this is more than a movie...those movie got a lot to do with life thats much i can tell.
 
Binadamu sio kazi yetu kulipa kisasi, hiyo ni kazi ya Mungu. Wanawake, mkiibiwa waume zenu msifanye ushirikiana kuwaloga wanawake wenzenu, Mungu atawapa dawa yao tu tena kali kuliko huo uchizi
WALIMWEUSI:mm na ww tunalijua hilo lkn tujiulize ktk jamii iliyotuzunguka ni wangapi wetu wamelishika na kulitii neno la Mungu? dunia ni tambara bovu
 
Huyo dada mchawi ajiaangalie yeye kwanza anatatizo gani linalomfanya mumewe asalandie nje,
Dawa si kutia watu vichaa dawa ni kumdhibiti mumewe.

biggirl : Mshauri huyo mwanga shoga ako, makahaba wa mjini ni wanga kuliko yeye watamtenda atajuta kujiingiza katika mashindano ya kichawi. Maana yaelekea huyu mumewe ni kahaba wa kiume
 
NATA shogaangu ndo kawa chizi hivi tunavyoongea babake kaja kumchukua wanampeleka kwao kanda ya ziwa huyo mwenye mume anaishi mtaani kwetu.sina mazoea naye kivilee ntaanzaje?
 
Du watu mna roggo mbayaaaa kumloga mwenzenu kisa limhogo? ukiachika si utamkuta brbrni uliyemloga haijawa sabuni eti itaisha mm nashauri ongeza mapenzi na sio kuchanua
 
Ukwaju you made my day.....
 
Hayo yalimkuta class mate wetu o'level miaka ya mwanzo mwa 90. Alikuwa na viela huyo mdada kuteketeza laki kwa siku kwenye vipodozi kwake haikuwa tabu; miaka hiyo laki pesa. Tukaja kuzinasa kuwa anatembea na baba jirani yao na ni baba wa rafiki yake (umri wa kumzaa). Tukamaliza o level fresh; baada ya kama mwaka nikaja sikia dada kachizika. Wanavyosema yule mama jirani alimfata akamuuliza "unatembea na mume wangu" dada kakataa kata kata; akamwambia sasa tutaona mjanja nani.

Nasikia ndugu zake walikuja kupata dawa baada ya kumpeleka mikoa yote inayoaminika kwa uganga. Lakini nilikuja kumuona amechakaa mbaya si unajua mtu akiwa chizi hawezi tena kuwa normal; sad enough alikuwa very bright lakini kwa kuwa alikuwa chizi hakuendelea na shule.

Wanawake ambao mume kwao ni kila kitu wanaloga aisee ukiingia kwenye kumi na nane zao; maana wakiachika wataenda wapi. Mume ndo kila kitu including ajira.

Wanajf,mimi nina rafiki yangu mmoja alikuwa na tabia ya kuiba waume za watu nimemkanya mara nyingi lakini akawa hanisikii sasa kakutana na kiboko yake kafanywa chizi kabisa anakimbia ovyo mitaani ,namhurumia ila sina cha kufanya .wadau mnaojihusisha na hii mambo nawashauri acheni!!!!!!!!
 
HAJAFANYIWA CHOCHOTE HUYO! uCHIZI ALIKUWA NAO TOKA MWANZO ULIKUWA HAUJAFIKIA STEJI HII YA SASA. INAKUWAJE MTU MWENYE AKILI TIMAMU ASISIKIE MAONYO?
 
we hujawahi ona mwanaume anang'ang'ana na viwanawake vya ajabu ajabu nje ya ndoa yake,wakati anamke mzuri kabisa.
Hiyo mambo ipo,hasa hasa mwanamke anaeng'ang'ania ndoa,akiipata hakutoki..au uchumban ukimpromise ndoa,hakuachi,atatangaza kote we ndo mmewake.inavyo onyesha huyo mwanamke aliipata ndoa kwa bahati,lazima aweke vizuizi mapema.
 
Nyumba Kubwa kiukweli inasikitisha sana cha ajabu wengine wanafikiri ni danganya toto we waache tuu yakiwakuta ndo watalijua jiji lol
 
we hujawahi ona mwanaume anang'ang'ana na viwanawake vya ajabu ajabu nje ya ndoa yake,wakati anamke mzuri kabisa.
Hiyo mambo ipo,hasa hasa mwanamke anaeng'ang'ania ndoa,akiipata hakutoki..au uchumban ukimpromise ndoa,hakuachi,atatangaza kote we ndo mmewake.inavyo onyesha huyo mwanamke aliipata ndoa kwa bahati,lazima aweke vizuizi mapema.

DERICK2000: Usiseme mwanamke amepata ndoa kwa bahati :hiyo si bahati ikiwa their love was pure and naturally sababu kumbuka huyo mumewe ndio ubavu wake na hakuna alikoahidiwa ubavu wa pili(watakuwa mwili mmoja)kosa ni hilo kuchizisha kwa uchawi lakini kulinda ndoa ni haki ya kila mwanamke
 
HAJAFANYIWA CHOCHOTE HUYO! uCHIZI ALIKUWA NAO TOKA MWANZO ULIKUWA HAUJAFIKIA STEJI HII YA SASA. INAKUWAJE MTU MWENYE AKILI TIMAMU ASISIKIE MAONYO?
Hivi ule usemi wa sikio la kufa halisikii dawa nadhani hapa inaweza kuwa quoted lol
 
Wanajf,mimi nina rafiki yangu mmoja alikuwa na tabia ya kuiba waume za watu nimemkanya mara nyingi lakini akawa hanisikii sasa kakutana na kiboko yake kafanywa chizi kabisa anakimbia ovyo mitaani ,namhurumia ila sina cha kufanya .wadau mnaojihusisha na hii mambo nawashauri acheni!!!!!!!!

Nilishawahi kuonya kuwa jamani vya nje huwa ni vitamu sana na huwa ni ngumu sana kuchomoa unapokuwa umeanzisha mahusiano,tumuonee huruma tu huyo bidada na shetani alivyokuwa mshenzi yaani utaona wanao kuonya kuwa kama wanakuonea wivu,mie yashanikuta hayo ila nilifanikiwa kuchomoka kabla sijaharibikiwa/kubambwa,na sitaki tena kusikia hizo habari.
 
Very well said stephot...
 
aisee acheni tu haya mambo yapo believe kuna dada alikuwa anaenda mwenzini kila siku mpaka kwenda kumpigia magoti mama wa kizaramo

Kwa ufupi uku kwetu uswahilini jina nahifadhi kulikuluwa na baba la kihaya la haja watoto walisoma st Mary's enzi hizo wote wanne yani alikuwa na fuba si unajua sisi tukishachezwa sijui miemuko inazidi basi libaba likavamia binti na binti akakubali jamaa likasahau mpaka ada za watoto watoto wakafukuzwa na kurudi shule za serikali mama mwenye mume si akamuendea bagamoyo dah binti alikuwa atoki ndani tangu siku ya kufahamu hayo sikwenda kusuka kwa yule mama nilimuogopa sana mama mzazi wa binti na binti wakaenda omba msamaha bahati mbaya mama kagoma sijui kilichofata maana nilihamishwa mkoa sikufatilia zaidi

swali hv ni kutojiamini , tamaa , roho mchafu anayetupelekea kuchua mume wa mtu kama hajui sawa lakini wengine tunajua lakini bado ....ee Mungu nipe wangu loh ingawa nakaribiaa menopose kwa mbali dah
 
Defence mechanism alikua anasumbuliwa na maralia ya kichwani huyo!!
 
Back
Top Bottom