Lokissa mi naona mwishowe watahama maana imekuwa gumzo watu wanaonyeshana tuu cha kusema hawana labda akitokea mwenye pumzi amweleze jamaa hali halisi ila sijui kama ataeleweka.huyo mwanamke atakuwa mchawi na hafai
kwani mume analindwa kwa ndumba?
huyo hana adabu na ataibiwa sana hadi akome
The text reads somewhat true, but it happens (e.g., going mad) only to those who believe in magic powers, which is typical of African context. Consequently, your advice is practical and pertinent!! Men, why let such a stupid and inauspicious behaviour spoil your future and entire life? Please stop.
WALIMWEUSI:mm na ww tunalijua hilo lkn tujiulize ktk jamii iliyotuzunguka ni wangapi wetu wamelishika na kulitii neno la Mungu? dunia ni tambara bovuBinadamu sio kazi yetu kulipa kisasi, hiyo ni kazi ya Mungu. Wanawake, mkiibiwa waume zenu msifanye ushirikiana kuwaloga wanawake wenzenu, Mungu atawapa dawa yao tu tena kali kuliko huo uchizi
Huyo dada mchawi ajiaangalie yeye kwanza anatatizo gani linalomfanya mumewe asalandie nje,
Dawa si kutia watu vichaa dawa ni kumdhibiti mumewe.
biggirl : Mshauri huyo mwanga shoga ako, makahaba wa mjini ni wanga kuliko yeye watamtenda atajuta kujiingiza katika mashindano ya kichawi. Maana yaelekea huyu mumewe ni kahaba wa kiume
Kabisa kabisa.Mtu mzima hatishiwi nyau; wewe ukitaka mumeo asiangukie kwenye mitego mwonyeshe upendo wa dhati na kumweka kwenye nafasi yake "respect"
Wanajf,mimi nina rafiki yangu mmoja alikuwa na tabia ya kuiba waume za watu nimemkanya mara nyingi lakini akawa hanisikii sasa kakutana na kiboko yake kafanywa chizi kabisa anakimbia ovyo mitaani ,namhurumia ila sina cha kufanya .wadau mnaojihusisha na hii mambo nawashauri acheni!!!!!!!!
teeeeh teeeeeee Bishanga mi akuuu mambo hayo sifanyagi huku mie!!!
teeeeh teeeeeee Bishanga mi akuuu mambo hayo sifanyagi huku mie!!!
Hayo yalimkuta class mate wetu o'level miaka ya mwanzo mwa 90. Alikuwa na viela huyo mdada kuteketeza laki kwa siku kwenye vipodozi kwake haikuwa tabu; miaka hiyo laki pesa. Tukaja kuzinasa kuwa anatembea na baba jirani yao na ni baba wa rafiki yake (umri wa kumzaa). Tukamaliza o level fresh; baada ya kama mwaka nikaja sikia dada kachizika. Wanavyosema yule mama jirani alimfata akamuuliza "unatembea na mume wangu" dada kakataa kata kata; akamwambia sasa tutaona mjanja nani.
Nasikia ndugu zake walikuja kupata dawa baada ya kumpeleka mikoa yote inayoaminika kwa uganga. Lakini nilikuja kumuona amechakaa mbaya si unajua mtu akiwa chizi hawezi tena kuwa normal; sad enough alikuwa very bright lakini kwa kuwa alikuwa chizi hakuendelea na shule.
Wanawake ambao mume kwao ni kila kitu wanaloga aisee ukiingia kwenye kumi na nane zao; maana wakiachika wataenda wapi. Mume ndo kila kitu including ajira.
we hujawahi ona mwanaume anang'ang'ana na viwanawake vya ajabu ajabu nje ya ndoa yake,wakati anamke mzuri kabisa.
Hiyo mambo ipo,hasa hasa mwanamke anaeng'ang'ania ndoa,akiipata hakutoki..au uchumban ukimpromise ndoa,hakuachi,atatangaza kote we ndo mmewake.inavyo onyesha huyo mwanamke aliipata ndoa kwa bahati,lazima aweke vizuizi mapema.
Wanajf,mimi nina rafiki yangu mmoja alikuwa na tabia ya kuiba waume za watu nimemkanya mara nyingi lakini akawa hanisikii sasa kakutana na kiboko yake kafanywa chizi kabisa anakimbia ovyo mitaani ,namhurumia ila sina cha kufanya .wadau mnaojihusisha na hii mambo nawashauri acheni!!!!!!!!
Nilishawahi kuonya kuwa jamani vya nje huwa ni vitamu sana na huwa ni ngumu sana kuchomoa unapokuwa umeanzisha mahusiano,tumuonee huruma tu huyo bidada na shetani alivyokuwa mshenzi yaani utaona wanao kuonya kuwa kama wanakuonea wivu,mie yashanikuta hayo ila nilifanikiwa kuchomoka kabla sijaharibikiwa/kubambwa,na sitaki tena kusikia hizo habari.