peasant serious
Member
- Jan 10, 2018
- 44
- 55
- Thread starter
-
- #21
ukifuatilia mlolongo wa post tangu mwanzo utaweza kujua ni muda gani hadi saa. Tare 2/12/2017 ilikuwa ni wiki 3 baada ya kupanda kwa ufupi, sasa ni miezi 4 tangu kupanda!Mbona zimekauka mapema sana??
Yaani zao unavuna ndani ya mwezi mmoja??
Umelimia wapi??
Baada ya kujua manufaa ya Chia seesds nimeasmua kufanya majaribio ya namna ya kuzilima. Nimeanza na eka moja.
Nimeshindwa kutafsiri maelezo haya kwa kiswahili, lakini kwa ufupi hii ni lishe iliyomo kwenye Chia seeds, Waweza pia ku-google Chia seeds:
Chia Seed Nutrition Profile
The reason chia seeds are so beneficial is due to them being rich in fiber, omega-3 fats, protein, vitamins and minerals.
For example, one ounce (28 grams) of chia seeds contain about: (1)
Chia seeds also contain essential fatty acids alpha-linolenic and linoleic acid; mucin; strontium’ vitamins A, B, E and D; and minerals, including sulphur, iron, iodine, magnesium, manganese, niacin and thiamine; and they’re a rich source of antioxidants. Soma 9 Chia Seeds Benefits, Chia Side Effects + Chia Seeds Recipes - Dr. Axe
- 137 calories
- 12.3 grams carbohydrates
- 4.4 grams protein
- 8.6 grams fat
- 10.6 grams fiber
- 0.6 milligram manganese (30 percent DV)
- 265 milligrams phosphorus (27 percent DV)
- 177 milligrams calcium (18 percent DV)
- 1 milligram zinc (7 percent DV)
- 0.1 milligram copper (3 percent DV)
- 44.8 milligrams potassium (1 percent DV)
Naambatisha picha za mwanzo wakati zimeota, ikiwa ni wiki tatu baada ya kupandaView attachment 676144 View attachment 676145 View attachment 676146
Hadi kukauka na kuanza kuvuna ni karibia miezi 4,Naomba kujua zinachukua muda gani kulima hadi kuvuna, na je kuna madawa yanaytumika au yanashambuliwa na wadudu wa aina gani kingine chia seed zinastawi kwenye ukanda gani zinahitaji maji mengi ama wastani, ungetufanunulia vizuri ili utupe motisha nasie tungie kwenye hicho kilimo
Ni lishe nzuri sana hasa kwa wale wanofanya diet.....Zinahusika na nini hizi mbegu
Baada ya kujua manufaa ya Chia seesds nimeasmua kufanya majaribio ya namna ya kuzilima. Nimeanza na eka moja.
Nimeshindwa kutafsiri maelezo haya kwa kiswahili, lakini kwa ufupi hii ni lishe iliyomo kwenye Chia seeds, Waweza pia ku-google Chia seeds:
Chia Seed Nutrition Profile
The reason chia seeds are so beneficial is due to them being rich in fiber, omega-3 fats, protein, vitamins and minerals.
For example, one ounce (28 grams) of chia seeds contain about: (1)
Chia seeds also contain essential fatty acids alpha-linolenic and linoleic acid; mucin; strontium’ vitamins A, B, E and D; and minerals, including sulphur, iron, iodine, magnesium, manganese, niacin and thiamine; and they’re a rich source of antioxidants. Soma 9 Chia Seeds Benefits, Chia Side Effects + Chia Seeds Recipes - Dr. Axe
- 137 calories
- 12.3 grams carbohydrates
- 4.4 grams protein
- 8.6 grams fat
- 10.6 grams fiber
- 0.6 milligram manganese (30 percent DV)
- 265 milligrams phosphorus (27 percent DV)
- 177 milligrams calcium (18 percent DV)
- 1 milligram zinc (7 percent DV)
- 0.1 milligram copper (3 percent DV)
- 44.8 milligrams potassium (1 percent DV)
Naambatisha picha za mwanzo wakati zimeota, ikiwa ni wiki tatu baada ya kupandaView attachment 676144 View attachment 676145 View attachment 676146
OFA OFA OFA OFA OFAAAAAAAANimepokea simu nyingi sana na kwa kweli nyingi sikuwa na majibu kamili kwa kuwa nami ni mara ya kwanza nalima zao hili. Sasa najiandaa kuvuna, baada ya hapo nitakuwa na majibu mengi.
Asanteni sana na tuendelee kuwasiliana.
Naambatisha hali ya shamba kwa sasa (settings za kamera mwanangu alizibadilisha - hiyo tarehe ni 10.2.2018 siyo 10.3.2018View attachment 694593 View attachment 694598
Asante kwa comment yako nzuri na karibu katika kilimo hiki, Ninaamini kuwa soko zuri liko nje ya nchi ambako mahitaji ni makubwa ambayo lazima tuzalishe kwa wimgi na tuungane pamoja. Uki -google soko la chia worldwide, custome mmoja anahitaji tani 20 kila baada ya miezi 3! Peasant mmoja hawezi, lakini united we can!Hili zao niko njiani kulilima mwaka huu mpya unaoanza, nimeona ni zao ambalo si lakusumbua Sana na katika kusoma kwangu nimegungua halishambuliwi na wadudu wala magonjwa. Kwa pwani kutokana na research zangu linastawi baadhi ya maeneo hasa Yale ya mabondeni maeneo ya pembezoni mpwa mito mfano mto ruvu huku bagamoyo na kule mloka. Lakini ukitaka kuuza vizuri usiweke mbolea yoyote ya viwandani tumia mbolea za wanyama.
Kwa sasa hivi wasambazaji wengi ambao tumewaona hata hapo juu wananunua kutoka Uganda ama bukoba, karagwe
Karibuni kwa fursa
Muhimu cheki na soko kwanza then ndio ulime
Asante kwa comment yako nzuri na karibu katika kilimo hiki, Ninaamini kuwa soko zuri liko nje ya nchi ambako mahitaji ni makubwa ambayo lazima tuzalishe kwa wimgi na tuungane pamoja. Uki -google soko la chia worldwide, custome mmoja anahitaji tani 20 kila baada ya miezi 3! Peasant mmoja hawezi, lakini united we can!

Ni kweli na changamoto kubwa ya masoko ya nje muendelezo... Je unaweza kusupply kwa mwaka mzima? Hapo ndio shida itaanza, sasa kwenye chia tani 20 si mchezo maana kwa heka moja nafikiri ni kilo 200-300 sasa kufikisha tani 20 ni changamoto
Asante kwa comment yako nzuri na karibu katika kilimo hiki, Ninaamini kuwa soko zuri liko nje ya nchi ambako mahitaji ni makubwa ambayo lazima tuzalishe kwa wimgi na tuungane pamoja. Uki -google soko la chia worldwide, custome mmoja anahitaji tani 20 kila baada ya miezi 3! Peasant mmoja hawezi, lakini united we can!
Kama ulimiss video ya unaji, basi tembelea link hii hapa: https://www.facebook.com/Mkuu uliahidi kutuletea mrejesho kimtiririko lakini umesita mkuu umeishia njiani. Tungependa kuona process ya uvunaji, ulipata kiasi gani kutoka kwenye ekari, uhifadhi nampaka mwisho ulipoingiza sokoni.