Chia Seeds - Kilimo na Masoko

Nipo Dodoma kwa anayehitaji mbegu za chia tuwasiliane bei ni maelewano na inaimilika. 0620292804
 
Nimekuwa napata simu nyingi kuhusu zao hili. Nilikuwa katika wakulima wa kwanza kulima zao hili hapa Tanzania
Changamoto nilizokutana nazo hadi naahirisha kulima zao hili.
1 Wanunuzi kutumia ignorance ya wakulima na kuwapa bei ndogo sana. Zao hili ni heavy feeder wa mbolea, kwa hiyo kila baada ya mizunguko 2 inabidi uongeze mbolea na kwa bei ya sasa mkulima hawezi kumudu kuongeza mbolea shambani. Wakulima waliopanda kwenye mashamba yao ya Maharage, migomba na mahindi, mazao yamedumaa kwa kukosa mbolea
2. Wanunuzi na wakulima kutojua kuwa zao hili linatumika raw, hivyo kutozingatia usafi tangu uvunaji hadi ufungaji. Wanunuzi wamekuwa wakipokea CHIA seeds chafu baada ya kutoa bei ya chini na mkulima akaona bora iwe hivyo kwani gharama ya usafi ni kubwa sana.
3. Kukata tamaa kwa wakulima kumesababisha wengi kujitoa kwenye kilimo hiki hivyo basi uwezekano wa kupata tonnage ya kuuza nje ni mdogo sana.
Tunaendeleaje sasa na kilimo hiki:
Kwa yeyote anayehitaji CHIA seeds kutoka kwangu, tuingie kwanza kilimo cha mkataba, anipe mahitaji yake, nimpe uwezo wangu wa uzalishaji na ubora ninaouweza then tukubaliane masuala ya bei, logistics nk.
Karibuni 0621833508; 0754866511 (whatsapp pia) ; 078684809
 
We jamaa unajua kulima aisee, hongera.

Bado unalima hili zao hadi leo?
 
Nitakucheck!
 
Uko wapi mkuu, kuna soko zuri sana la chia seed
0712363358
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…