Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa unajua kulima aisee, hongera.Karibuni tena wana Jamiiforums. Kama nilivyoeleza huo nyuma nimeendelea kulima Chia.
Naambatisha picha za shamba kwa sasa.
Ila linalosikitisha ni bei ndogo sana wanayotoa wanunuzi wa jumla toka kwa wakulima, Mtu anatoa bei ya shs 5,000 kwa kilo wakati anajua wazi kuwa yeye anaenda kuuza karibia 20,000! Ebu tumjali pia huyu mzalishaji - tusitumie ignorance yake kujinufaisha kupita kiasi, akikata tamaa akaacha kuzalisha, sijui kama tutaweza kupata supply reliable Tuwasiliane kwa 0713121090, 0621833508 na 0782943133
View attachment 978872View attachment 978874
Nitakucheck!Nimekuwa napata simu nyingi kuhusu zao hili. Nilikuwa katika wakulima wa kwanza kulima zao hili hapa Tanzania
Changamoto nilizokutana nazo hadi naahirisha kulima zao hili.
1 Wanunuzi kutumia ignorance ya wakulima na kuwapa bei ndogo sana. Zao hili ni heavy feeder wa mbolea, kwa hiyo kila baada ya mizunguko 2 inabidi uongeze mbolea na kwa bei ya sasa mkulima hawezi kumudu kuongeza mbolea shambani. Wakulima waliopanda kwenye mashamba yao ya Maharage, migomba na mahindi, mazao yamedumaa kwa kukosa mbolea
2. Wanunuzi na wakulima kutojua kuwa zao hili linatumika raw, hivyo kutozingatia usafi tangu uvunaji hadi ufungaji. Wanunuzi wamekuwa wakipokea CHIA seeds chafu baada ya kutoa bei ya chini na mkulima akaona bora iwe hivyo kwani gharama ya usafi ni kubwa sana.
3. Kukata tamaa kwa wakulima kumesababisha wengi kujitoa kwenye kilimo hiki hivyo basi uwezekano wa kupata tonnage ya kuuza nje ni mdogo sana.
Tunaendeleaje sasa na kilimo hiki:
Kwa yeyote anayehitaji CHIA seeds kutoka kwangu, tuingie kwanza kilimo cha mkataba, anipe mahitaji yake, nimpe uwezo wangu wa uzalishaji na ubora ninaouweza then tukubaliane masuala ya bei, logistics nk.
Karibuni 0621833508; 0754866511 (whatsapp pia) ; 078684809
Uko wapi mkuu, kuna soko zuri sana la chia seedBaada ya kujua manufaa ya Chia seesds nimeasmua kufanya majaribio ya namna ya kuzilima. Nimeanza na eka moja.
Nimeshindwa kutafsiri maelezo haya kwa kiswahili, lakini kwa ufupi hii ni lishe iliyomo kwenye Chia seeds, Waweza pia ku-google Chia seeds:
Chia Seed Nutrition Profile
The reason chia seeds are so beneficial is due to them being rich in fiber, omega-3 fats, protein, vitamins and minerals.
For example, one ounce (28 grams) of chia seeds contain about: (1)
Chia seeds also contain essential fatty acids alpha-linolenic and linoleic acid; mucin; strontium’ vitamins A, B, E and D; and minerals, including sulphur, iron, iodine, magnesium, manganese, niacin and thiamine; and they’re a rich source of antioxidants. Soma 9 Chia Seeds Benefits, Chia Side Effects + Chia Seeds Recipes - Dr. Axe
- 137 calories
- 12.3 grams carbohydrates
- 4.4 grams protein
- 8.6 grams fat
- 10.6 grams fiber
- 0.6 milligram manganese (30 percent DV)
- 265 milligrams phosphorus (27 percent DV)
- 177 milligrams calcium (18 percent DV)
- 1 milligram zinc (7 percent DV)
- 0.1 milligram copper (3 percent DV)
- 44.8 milligrams potassium (1 percent DV)
Naambatisha picha za mwanzo wakati zimeota, ikiwa ni wiki tatu baada ya kupandaView attachment 676144 View attachment 676145 View attachment 676146