Chibonge wangu

Chibonge wangu

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Shepu ya mabonde mabonde
Nimeridhia
Ntakumiliki usikonde
Hataa nkifulia Oooh
Bebi unashow za ng'ombe
mbuzi wanakimbia
Nauosha hu mwogo wa jang'ombe
Leta sufuria
Baby usijipe stressi
We kibonge mwepesi
Wa ruka mpaka sarakasi Samba Kareti unajua Hips kiuno shangaa una macheni macheni (Baby you like Donosso)
Mdomo lips nyembamba kiuno chako feni (Girl i gotta make you know so)
Chi Chi Chibonge
Ah Chi Chi Chi Chibonge Chi Chi Chibonge Ah Chi Chi Chi Chibonge Chibonge
Ah Chi Chi Chi


Wimbo mkubwa sana huu,sijui wanafeli wapi hawa vijana kufika top kabisa, wamegusa mule mule[emoji41]
 
Nani Kasema Vibonge Hawapigh. MAUNO..

haka kanyimbo katamu Kanawatia matumaini Vibonge Wamavimba kitaa
 
Back
Top Bottom