jerry joshy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 402
- 504
hayakuhusu kama unawashwa kakunwe au jikune uandishi unakuhusu nini soma kilichoandikwa kama huelewi jipanguse sepa au ww wazir wa jinsiahuu uandishi huu ndio maana unaleta kadhia kwa wanaume wadaslama!!
hapa nimekuelewaa kwa kweli bi maza anatumiaa too much energy wakati mama mkwe wake yupo khaa wakati watz washamshushaga vyeo zamanacha umbea!!!
huyu mtoto wa kiume hana kiki
kwa sababu ,sio mtoto wa kwanza wa chibu!!
tiffa alipata kik wa sababu baba ake alikua mshamba wa kuzaa, na kukata vilimi limi vya wazushi!!
halafu kingine huyu mama wa kiganda ameshachokwa Tz
siku zile alikua kipya kinyemi...
sasa tushamchoka!!
hawawezi kupata kiki kwakweli!! na wala hawatafuti kiki!!!
ila bosslady anatafuta kiki
mwanammke ukizaa unatakiwa upumzishe mgongo
kwa kupenda kiki za insta kajifanya kupika! shauri yake!!!!!!!!!!
ila chibu junior hawezi kupata kiki na wala hawataki kiki!!!!
kunywa maji mwanangu inaonekana umepenikiiiiiiii manake sio kupanik tenaTatizo mashabiki wa matopeni mnamuongelea sana Dangote kila anachofanya lazima mfuatilie, badala ya kutumia hizo nguvu kumpa support king wenu
walimwengu mna mambo riaz kwakweli kabumaaaHii bongo kama huna moyo wa chuma unaweza kufa kwa maneno maneno tu ...mtoto hata hajui kinachoendelea masikin ya Mungu lakini duuh ama kweli
hongera nimeshampaa mkuu lakin kuna vitendo wanafanyafanya ili mtoto apate kick ila huyu mambo yamegoma all in all mtoto ni barakaKwani kiki zinasaidia nini maisha haya,mimi naona wamefanya vizuri kuliko kutafuta kiki kupitia mtoto mchanga.Watumie mbinu zingine kutafuta jina na kiki.Vinginevyo tuwape hongera kwa kupata mtoto wa kiume.
kama nani yaako anayevaa?Toka uanze kuliwa kisamvu umekuwa poyoyo na unashadadia umbeya zaid kuliko kazi..mtoto wa kiume matatizo sana ila huo mchezo unaoufanya lazima uje kuvaa tambala
Atakuwa wa Arusha.. Huyu atakuwa kwenye ile orodha ya waliopewa piki piki za bure majuzi...Aliyetoa hii post ni mwanaume?!
Iwo mchaka okwi?hiv mnakumbuka tiffa alivyokuwa anazaliwa alikick jaman ilaa chibu junior naonaa zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
familiaa nzima inatafuta pa kutokea kupitia chibu junior ilaa kick zimegoma manake naona mama ake mara asonge ugali,mara aende supa market mara ajiselfie ilaaa vimegoma chaaaa kwakweli tiffa alikuja na nyota yake anazaliwa tu kashakuwa balozi wa msasani mall ila huyu mmmmh ngachoka kwan veepe ni kwamba makampuni yamefulia au?
i gt u baby boo nahisi kwakuwa watu wameshawazoeaaa eehee manake huyu kimyaaaa na baba ake alikuwa anasaka kick kusema ataonyesha live kama dj khaledSwala la kupata mtoto wala sio kiki jambo LA kawaida. Kwa tiffah ilikuwa vile kwa ajili ya mambo ya timu wema kumsakama sana Zari so watu walikua wa nasubiria kwa hamu zote, tofauti na sasa