Chibu Junior kakosa kick ya kutokea

Chibu Junior kakosa kick ya kutokea

Status
Not open for further replies.

jerry joshy

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
402
Reaction score
504
Hivi mnakumbuka Tiffa alivyokuwa anazaliwa alikick jaman ilaa Chibu Junior naonaa zzzz..

Familiaa nzima inatafuta pa kutokea kupitia Chibu Junior ila kick zimegoma manake naona mama ake mara asonge ugali, mara aende supamarket mara ajiselfie ilaaa vimegoma chaaaa!

Kwa kweli Tiffah alikuja na nyota yake anazaliwa tu kashakuwa balozi wa Msasani Mall ila huyu mmmmh ngachoka!

Kwani vipi ni kwamba makampuni yamefulia au?
 
huu uandishi huu ndio maana unaleta kadhia kwa wanaume wadaslama!!
hayakuhusu kama unawashwa kakunwe au jikune uandishi unakuhusu nini soma kilichoandikwa kama huelewi jipanguse sepa au ww wazir wa jinsia
 
acha umbea!!!
huyu mtoto wa kiume hana kiki
kwa sababu ,sio mtoto wa kwanza wa chibu!!
tiffa alipata kik wa sababu baba ake alikua mshamba wa kuzaa, na kukata vilimi limi vya wazushi!!

halafu kingine huyu mama wa kiganda ameshachokwa Tz
siku zile alikua kipya kinyemi...
sasa tushamchoka!!
hawawezi kupata kiki kwakweli!! na wala hawatafuti kiki!!!
ila bosslady anatafuta kiki
mwanammke ukizaa unatakiwa upumzishe mgongo
kwa kupenda kiki za insta kajifanya kupika! shauri yake!!!!!!!!!!

ila chibu junior hawezi kupata kiki na wala hawataki kiki!!!!
 
hapa nimekuelewaa kwa kweli bi maza anatumiaa too much energy wakati mama mkwe wake yupo khaa wakati watz washamshushaga vyeo zaman
 
Tatizo mashabiki wa matopeni mnamuongelea sana Dangote kila anachofanya lazima mfuatilie, badala ya kutumia hizo nguvu kumpa support king wenu
kunywa maji mwanangu inaonekana umepenikiiiiiiii manake sio kupanik tena
 
Kwani kiki zinasaidia nini maisha haya,mimi naona wamefanya vizuri kuliko kutafuta kiki kupitia mtoto mchanga.Watumie mbinu zingine kutafuta jina na kiki.Vinginevyo tuwape hongera kwa kupata mtoto wa kiume.
 
hongera nimeshampaa mkuu lakin kuna vitendo wanafanyafanya ili mtoto apate kick ila huyu mambo yamegoma all in all mtoto ni baraka
 
Swala la kupata mtoto wala sio kiki jambo LA kawaida. Kwa tiffah ilikuwa vile kwa ajili ya mambo ya timu wema kumsakama sana Zari so watu walikua wa nasubiria kwa hamu zote, tofauti na sasa
 
Toka uanze kuliwa kisamvu umekuwa poyoyo na unashadadia umbeya zaid kuliko kazi..mtoto wa kiume matatizo sana ila huo mchezo unaoufanya lazima uje kuvaa tambala
kama nani yaako anayevaa?
 
hiv mnakumbuka tiffa alivyokuwa anazaliwa alikick jaman ilaa chibu junior naonaa zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
familiaa nzima inatafuta pa kutokea kupitia chibu junior ilaa kick zimegoma manake naona mama ake mara asonge ugali,mara aende supa market mara ajiselfie ilaaa vimegoma chaaaa kwakweli tiffa alikuja na nyota yake anazaliwa tu kashakuwa balozi wa msasani mall ila huyu mmmmh ngachoka kwan veepe ni kwamba makampuni yamefulia au?
Iwo mchaka okwi?
 
Wala usipate tabu muda si mrefu watakujibu kwa endorsement
 
Swala la kupata mtoto wala sio kiki jambo LA kawaida. Kwa tiffah ilikuwa vile kwa ajili ya mambo ya timu wema kumsakama sana Zari so watu walikua wa nasubiria kwa hamu zote, tofauti na sasa
i gt u baby boo nahisi kwakuwa watu wameshawazoeaaa eehee manake huyu kimyaaaa na baba ake alikuwa anasaka kick kusema ataonyesha live kama dj khaled
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom