Chibu Junior kakosa kick ya kutokea

Status
Not open for further replies.

We nawe acha umbea. Na kama umeamua kuwa mmbea kuwa na kumbukumbu
Kipindi Tiffa anazaliwa wala hakukua na kiki kwanza taifa zima lilikua busy na uchaguzi. Hakuonyeshwa zaidi ya kufunguliwa akaunti insta na familia nzima ilikua kimya zari alikua akileta mbwembwe hizo za kufanya mazoezi pale kwenye gym ya madale. Kiki zilianza za Tiffa siku yake ya arobaini alivyofanyiwa Maulid, coz ndo sura yake ilionekana na hapo hapo akatangazwa kuwa balozi wa makampuni na walisema hawakutaka kumuonyesha before coz ya ubalozi huo. I'm sure na huyu mambo yatakua yale yale.
Nenda kanywe maji sasa maana I'm sure panick ile ilikua kiu tu
 
hayakuhusu kama unawashwa kakunwe au jikune uandishi unakuhusu nini soma kilichoandikwa kama huelewi jipanguse sepa au ww wazir wa jinsia
Mbona mkali hivyo?? Tuki comment hapa tutatoka salama kweli?[emoji15] [emoji15]
 
Mtoa mada ana mitusi hatari..
Usinitukane tu
Michicha miba isikutishe maana hapo alipo ni tusi pia anatoa kijambio. [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji818] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] atakutukana nini tena cha ajabu bora angezaliwa kapu liendee sokoni musenge tu huyu taco
 
Swala la kupata mtoto wala sio kiki jambo LA kawaida. Kwa tiffah ilikuwa vile kwa ajili ya mambo ya timu wema kumsakama sana Zari so watu walikua wa nasubiria kwa hamu zote, tofauti na sasa
Halafu usisahau watu walikuwa na kiherere sana cha kumsubiria Tiffa ili waone ikiwa atakuwa na mdomo kama wa Chibu au Katunzi... taifa lina mambo hili!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…