Chibu Junior kakosa kick ya kutokea

Chibu Junior kakosa kick ya kutokea

Status
Not open for further replies.
njaa inakusumbuaa pole manake unatumiaa nguvu kubwa while you dont even know the meaning of your signature daah u need a sexy girl from tanga akutoe shida ulizo nazo
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] unatia kinyaa
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hivi mnakumbuka Tiffa alivyokuwa anazaliwa alikick jaman ilaa Chibu Junior naonaa zzzz..

Familiaa nzima inatafuta pa kutokea kupitia Chibu Junior ila kick zimegoma manake naona mama ake mara asonge ugali, mara aende supamarket mara ajiselfie ilaaa vimegoma chaaaa!

Kwa kweli Tiffah alikuja na nyota yake anazaliwa tu kashakuwa balozi wa Msasani Mall ila huyu mmmmh ngachoka!

Kwani vipi ni kwamba makampuni yamefulia au?
Naona umeshagundua njia ya mkato na wewe ili upate komenti nyingi,NI KUANZISHA DONGO KWA DIAMOND. Maana sasa hivi kila thread yako ni dongo kwa DIAMOND.
 
Naona umeshagundua njia ya mkato na wewe ili upate komenti nyingi,NI KUANZISHA DONGO KWA DIAMOND. Maana sasa hivi kila thread yako ni dongo kwa DIAMOND.

nikipata comment zitanisaidiaa nini katika maisha yangu labda??dume zima unamsujudiaa mond katafute elaa ww kuliko kushabikiaa mwanaume mwenzio yan sijui mtaacha lini ujinga khaa
 
acha umbea!!!
huyu mtoto wa kiume hana kiki
kwa sababu ,sio mtoto wa kwanza wa chibu!!
tiffa alipata kik wa sababu baba ake alikua mshamba wa kuzaa, na kukata vilimi limi vya wazushi!!

halafu kingine huyu mama wa kiganda ameshachokwa Tz
siku zile alikua kipya kinyemi...
sasa tushamchoka!!
hawawezi kupata kiki kwakweli!! na wala hawatafuti kiki!!!
ila bosslady anatafuta kiki
mwanammke ukizaa unatakiwa upumzishe mgongo
kwa kupenda kiki za insta kajifanya kupika! shauri yake!!!!!!!!!!

ila chibu junior hawezi kupata kiki na wala hawataki kiki!!!!

Kupumzisha mgongo si lazima kama unafanya mazoezi ya kutosha, hata wazungu hawapumzishi migongo. waafrika hatuna utamaduni wa mazoezi ndio maana kutwa uko kitandani kama mgonjwa wakati umejifungua salama.
hata wewe ukiwa na motto wa kwanza una kiherehere zaidi wanaofuata. hii sio kwa Chibu pekee, ni kwa kila mtu. Furaha ya motto wa kwanza ni tofauti na wanaofuata.
mwacheni Zari ni level nyingine wala tusimzungumzie. Umemchoka wewe lakini mwenye chake hajamchoka. Tuache kuwekea watu maneno.
 
Kama imekuchukulia muda kuanzisha uzi humu hiyo ndio kiki,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom