habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,749
Heshima kwenu waungwana
Hivi Tangu huyu bibie mobeto ajifungue mtoto wa pili...
Hivi hana kingine cha kufanya? Na vipi kuhusu yule mtoto wake wakwanza alozaa na Majizo? Hana thamani km Mwafrika mbele ya watu weupe? Kwann anakuwa mbaguzi kwa yule mtoto wa kwanza km ni wa hisani?
Huu ni ulimbukeni na ushamba wa kiwango cha reli ya mwendokasi,
Ahsante kwa swali zuriNa wewe je.
Anza wewe kumpana na yako kisha unijie,Pambana na hali yako ungekua na busara kipindi haswa kipindi zari anachezewa na diamond bafuni ungempa ushauri mtu mzima yule
She is jus 24 ujana maji ya moto!fancy baba ake anajielewa kila mtu na life lake looohhh!
Mlitaka azae na nani?hahahaaaaaaa
Ndo ashazaa na diamond na ndo ashafanya party
Mwanamke jeuri muibie mmewe
Mbona unajitekenya na kucheka?alokuambia mtoto wa majay hana thamani in Nani?hivi kuna mzazi anamchukiaga mwanae kweli?na je ulitaka hamisa afanye nini?mwacheni mtoto mzuri hamisa apumue na kufurahia mtoto wake jamani..hivi mngesikia katoa mimba si ndo mgemshupalia kooni kama tai?Heshima kwenu waungwana
Hivi Tangu huyu bibie mobeto ajifungue mtoto wa pili na kusemekana kuwa ni wa chibu, kelele zimekuwa nyingi, watu hawapumui kiasi kwamba huyo mtoto kashushwa km kilivyoshushwa kile kitabu kitakatifu,
Hivi hana kingine cha kufanya? Na vipi kuhusu yule mtoto wake wakwanza alozaa na Majizo? Hana thamani km Mwafrika mbele ya watu weupe? Kwann anakuwa mbaguzi kwa yule mtoto wa kwanza km ni wa hisani?
Huu ni ulimbukeni na ushamba wa kiwango cha reli ya mwendokasi,
Mamako Angeibiwa babako ungefurah?unaongea na makalio au Kichwa?Pambana na hali yako ungekua na busara kipindi haswa kipindi zari anachezewa na diamond bafuni ungempa ushauri mtu mzima yule
She is jus 24 ujana maji ya moto!fancy baba ake anajielewa kila mtu na life lake looohhh!
Mlitaka azae na nani?hahahaaaaaaa
Ndo ashazaa na diamond na ndo ashafanya party
Mwanamke jeuri muibie mmewe
HahahahahaMamako Angeibiwa babako ungefurah?unaongea na makalio au Kichwa?
Pambana na hali yakoAnza wewe kumpana na yako kisha unijie,
Mwambieni mwanamke mwenzenu km kuzaa hajaanza yy
Lazima muambiwe ili mujue wapi mrekebishe,Pambana na hali yako
Chuki ni ugonjwa mbaya sana
There is thin line between love and hate
[emoji1] [emoji1] [emoji1]mnajua kuzaa hajaanza yeye,sasa kinawawasha nini...!!tena wangapi wanazaa na waume za watu tena ndoa halali kabisaaa sembuse zari hawara tu hata uchumba hanaa