Chibu kapanda mbegu kwa mshamba na limbukeni

Mkuuu anayejua kabila LA huyo mwanadada anisaidie !!!

Ivi sio mwanadasalama kweli ????? Yaaan ukoooo mzima unafurahia Binti kuzalishwa na mababa tofauti tofauti bila kuangalia heshima yake ,bila kuangalia atakua nani atakapofikisha miaka 40 .

Daahhhhhh kazi kweli kweli!!! Ata kama elimu imepita mbali ,,ivi kweli hata elimu yamaisha imempita ??????
 
Heshima kwenu waungwana

Hivi Tangu huyu bibie mobeto ajifungue mtoto wa pili na kusemekana kuwa ni wa chibu, kelele zimekuwa nyingi, watu hawapumui kiasi kwamba huyo mtoto kashushwa km kilivyoshushwa kile kitabu kitakatifu,

Hivi hana kingine cha kufanya? Na vipi kuhusu yule mtoto wake wakwanza alozaa na Majizo? Hana thamani km Mwafrika mbele ya watu weupe? Kwann anakuwa mbaguzi kwa yule mtoto wa kwanza km ni wa hisani?

Huu ni ulimbukeni na ushamba wa kiwango cha reli ya mwendokasi,
Ungemuliza mobeto hilo swali sasa tukusaidie nini .
 
Mkuuu anayejua kabila LA huyo mwanadada anisaidie !!!

Ivi sio mwanadasalama kweli ????? Yaaan ukoooo mzima unafurahia Binti kuzalishwa na mababa tofauti tofauti bila kuangalia heshima yake ,bila kuangalia atakua nani atakapofikisha miaka 40 .

Daahhhhhh kazi kweli kweli!!! Ata kama elimu imepita mbali ,,ivi kweli hata elimu yamaisha imempita ??????
Akifikisha 40 msululu wa baba na watoto
 
Hamisa Ana kaushamba Fulani.
Anatakiwa ashindane na zari kitandani sio Instagram.hauwezi kuwa namba moja bila kupitia mbili. Na kuipata namba moja ni bidii yako tu.
Hivi yule boss lady Mwenye vijimaneno vya kishakunaku nae ni mzungu teh teh teh Chuki ni ugonjwa wa moyo shogangu
 
Aendelee kubishana na zari
Mwenyewe yupo sauzi nyumba kanunuliwa na watoto wake ana uhakika hawakosi kitu kwa diamond. Mshaurini hamisa atulie aache mapepe atakula sahani moja na zari. Vinginevyo atabakia hivyo hivyo. Kumuona diamond Instagram. MTU umeshazaa nae mapepe ya nini
 
Heshima kwenu waungwana

Hivi Tangu huyu bibie mobeto ajifungue mtoto wa pili na kusemekana kuwa ni wa chibu, kelele zimekuwa nyingi, watu hawapumui kiasi kwamba huyo mtoto kashushwa km kilivyoshushwa kile kitabu kitakatifu,

Hivi hana kingine cha kufanya? Na vipi kuhusu yule mtoto wake wakwanza alozaa na Majizo? Hana thamani km Mwafrika mbele ya watu weupe? Kwann anakuwa mbaguzi kwa yule mtoto wa kwanza km ni wa hisani?

Huu ni ulimbukeni na ushamba wa kiwango cha reli ya mwendokasi,
We ni ME au KE?
 
KUMBE HAMISA NI USED NA KELELE ZOTE HIZO ANA MTOTO MWINGINE NA BABA MWINGINE.DIAMOND NAYE.ILA HUYU DADA NA HASA MAMA YAKE NI OVYO KABISA NA HAWAJUI KULA NI VIPOFU KUMBE NA MAJZO PIA YUMO HIKI NI KITI CHA MIBA
kiti-miba.jpg
 
Pambana na hali yako ungekua na busara kipindi haswa kipindi zari anachezewa na diamond bafuni ungempa ushauri mtu mzima yule

She is jus 24 ujana maji ya moto!fancy baba ake anajielewa kila mtu na life lake looohhh!
Mlitaka azae na nani?hahahaaaaaaa
Ndo ashazaa na diamond na ndo ashafanya party

Mwanamke jeuri muibie mmewe
"Mwanamke jeuri muibie mumewe"
Jasiri haachi asili!!
 
Aendelee kubishana na zari
Mwenyewe yupo sauzi nyumba kanunuliwa na watoto wake ana uhakika hawakosi kitu kwa diamond. Mshaurini hamisa atulie aache mapepe atakula sahani moja na zari. Vinginevyo atabakia hivyo hivyo. Kumuona diamond Instagram. MTU umeshazaa nae mapepe ya nini
Nadhani wa kutuli ni sisi tunao judge maisha ya watu,we imekuaje kama hamisa atabakia hivyo hivyo kama si umbea
 
Ili ndo tatizo za timu zenu. Ndo maana nikiingia insta uwa naangaliaga tu. Sina muda wa kufatilia maisha Yao wala Ku judge. Ila nauona ukweli na ndio niliousema. Mnampoteza hamisa. Hata uke wenza ataukosa. Sasa hivi mpaka mawifi zake wote wapo upande wa zari. Kwa sababu ya ujinga mnaomjaza.
 
hivi uyo zari mnosema ana akili ana akili gani?

bila ivan asingejiita bosslady..

katika wanawake wa diamond wakodhalilishwa ni huyu...
anashikwa shikwa uchi bafuni video zinapostiwa.IG... ww mleta uzi unaweza shika shika au kushikwa shikwa....
hivo?
mama wa watoto wa5 anahangaika na mwanaume wa kumzaa na anadhalilishwa hadharani ,mama gani huyo anaeweza hayo? mbele y watt wake kama anajiheshimu?

hivi huyo zari mbona mnataka kumfanya kama ana busara na akili saana...
She's just aBitch who's dying for fucking fame
 
Ili ndo tatizo za timu zenu. Ndo maana nikiingia insta uwa naangaliaga tu. Sina muda wa kufatilia maisha Yao wala Ku judge. Ila nauona ukweli na ndio niliousema. Mnampoteza hamisa. Hata uke wenza ataukosa. Sasa hivi mpaka mawifi zake wote wapo upande wa zari. Kwa sababu ya ujinga mnaomjaza.
SI MUMSHAURI NYIE ANATUTIA AIBU WABONGO TUNAONEKANA LIMBUKENI
 
Back
Top Bottom