Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungemuliza mobeto hilo swali sasa tukusaidie nini .Heshima kwenu waungwana
Hivi Tangu huyu bibie mobeto ajifungue mtoto wa pili na kusemekana kuwa ni wa chibu, kelele zimekuwa nyingi, watu hawapumui kiasi kwamba huyo mtoto kashushwa km kilivyoshushwa kile kitabu kitakatifu,
Hivi hana kingine cha kufanya? Na vipi kuhusu yule mtoto wake wakwanza alozaa na Majizo? Hana thamani km Mwafrika mbele ya watu weupe? Kwann anakuwa mbaguzi kwa yule mtoto wa kwanza km ni wa hisani?
Huu ni ulimbukeni na ushamba wa kiwango cha reli ya mwendokasi,
Akifikisha 40 msululu wa baba na watotoMkuuu anayejua kabila LA huyo mwanadada anisaidie !!!
Ivi sio mwanadasalama kweli ????? Yaaan ukoooo mzima unafurahia Binti kuzalishwa na mababa tofauti tofauti bila kuangalia heshima yake ,bila kuangalia atakua nani atakapofikisha miaka 40 .
Daahhhhhh kazi kweli kweli!!! Ata kama elimu imepita mbali ,,ivi kweli hata elimu yamaisha imempita ??????
Alafu kibaya at 40 ,, hata K itakua haina soko!!!.Akifikisha 40 msululu wa baba na watoto
Huyu aliyeuliza swali naomba nimnunulie bundle ya mwezi hahahAhsante kwa swali zuri
Hahah kumbe umezaa wewe! Wabongo bwana mtakufa kihoro nyieAnza wewe kumpana na yako kisha unijie,
Mwambieni mwanamke mwenzenu km kuzaa hajaanza yy
Huijui Siri ya kuzaliwa kwako hivyo tuliza kipapa chiniMamako Angeibiwa babako ungefurah?unaongea na makalio au Kichwa?
Hivi yule boss lady Mwenye vijimaneno vya kishakunaku nae ni mzungu teh teh teh Chuki ni ugonjwa wa moyo shoganguHamisa Ana kaushamba Fulani.
Anatakiwa ashindane na zari kitandani sio Instagram.hauwezi kuwa namba moja bila kupitia mbili. Na kuipata namba moja ni bidii yako tu.
Aendelee kubishana na zariHivi yule boss lady Mwenye vijimaneno vya kishakunaku nae ni mzungu teh teh teh Chuki ni ugonjwa wa moyo shogangu
We ni ME au KE?Heshima kwenu waungwana
Hivi Tangu huyu bibie mobeto ajifungue mtoto wa pili na kusemekana kuwa ni wa chibu, kelele zimekuwa nyingi, watu hawapumui kiasi kwamba huyo mtoto kashushwa km kilivyoshushwa kile kitabu kitakatifu,
Hivi hana kingine cha kufanya? Na vipi kuhusu yule mtoto wake wakwanza alozaa na Majizo? Hana thamani km Mwafrika mbele ya watu weupe? Kwann anakuwa mbaguzi kwa yule mtoto wa kwanza km ni wa hisani?
Huu ni ulimbukeni na ushamba wa kiwango cha reli ya mwendokasi,
"Mwanamke jeuri muibie mumewe"Pambana na hali yako ungekua na busara kipindi haswa kipindi zari anachezewa na diamond bafuni ungempa ushauri mtu mzima yule
She is jus 24 ujana maji ya moto!fancy baba ake anajielewa kila mtu na life lake looohhh!
Mlitaka azae na nani?hahahaaaaaaa
Ndo ashazaa na diamond na ndo ashafanya party
Mwanamke jeuri muibie mmewe
Nadhani wa kutuli ni sisi tunao judge maisha ya watu,we imekuaje kama hamisa atabakia hivyo hivyo kama si umbeaAendelee kubishana na zari
Mwenyewe yupo sauzi nyumba kanunuliwa na watoto wake ana uhakika hawakosi kitu kwa diamond. Mshaurini hamisa atulie aache mapepe atakula sahani moja na zari. Vinginevyo atabakia hivyo hivyo. Kumuona diamond Instagram. MTU umeshazaa nae mapepe ya nini
Ili ndo tatizo za timu zenu. Ndo maana nikiingia insta uwa naangaliaga tu. Sina muda wa kufatilia maisha Yao wala Ku judge. Ila nauona ukweli na ndio niliousema. Mnampoteza hamisa. Hata uke wenza ataukosa. Sasa hivi mpaka mawifi zake wote wapo upande wa zari. Kwa sababu ya ujinga mnaomjaza.Nadhani wa kutuli ni sisi tunao judge maisha ya watu,we imekuaje kama hamisa atabakia hivyo hivyo kama si umbea
SI MUMSHAURI NYIE ANATUTIA AIBU WABONGO TUNAONEKANA LIMBUKENIIli ndo tatizo za timu zenu. Ndo maana nikiingia insta uwa naangaliaga tu. Sina muda wa kufatilia maisha Yao wala Ku judge. Ila nauona ukweli na ndio niliousema. Mnampoteza hamisa. Hata uke wenza ataukosa. Sasa hivi mpaka mawifi zake wote wapo upande wa zari. Kwa sababu ya ujinga mnaomjaza.