Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hamisa mtoto tu she is jus 24 suala la mapenzi utotoni kwa nchi za kiafrica sio la kushangaza ht kidogo njoo mashuleni ukutane na vitoto vya form one vina mabwana!!She is just 24??. Anadai yupo na mondi huu mwaka wanaingia mwaka wa 10 wa mahusiano. Kwahyo alianza kudate na mondi akiwa na 14 years??. Jamani hamisa atakua ana miaka 27-28 [emoji1][emoji1][emoji1]
Nenda vijijini vitoto vya 12yrs vimeolewa no wonder in Africa ni mabinti wachache ambao wanaanza mapenzi after 18yrs kwa hili tusiwe wanaafiki kwa kua hamisa ni celebrity ila ukweli wa lini tulianza kuamsha dudeee[emoji1] [emoji1] Mungu ndo anajua na nafsi zetu zinaona
Mseme tuu mmechomekwa haswaa hamisa kuitwa mama dully!