Chibu kapanda mbegu kwa mshamba na limbukeni

Chibu kapanda mbegu kwa mshamba na limbukeni

Aendelee kubishana na zari
Mwenyewe yupo sauzi nyumba kanunuliwa na watoto wake ana uhakika hawakosi kitu kwa diamond. Mshaurini hamisa atulie aache mapepe atakula sahani moja na zari. Vinginevyo atabakia hivyo hivyo. Kumuona diamond Instagram. MTU umeshazaa nae mapepe ya nini
Zari kweli kiboko, lile jumba kalamba kilainii kwasasa dogo akienda aende kwa adabu.
Aisee mungu akunyime pesa akupe akili.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] daah!ana pesa gani yule
PLATE NUMBER TU KULIPIA KWA MWAKA HILO JINA UNANUNUA RAV 4 ALIYOONGWA HUYO ASIYEJUA KULA NA VIPOFU
ZARI7.png
ZARI6.jpg
ZARI5.png
ZARI4.png
ZARI3.png
ZARI1.jpg
ZARI2.png
 
Umejitahidi sana kumtetea huyo limbukeni wa maisha(hamisa),kwa anayoyafanya huyu mtoto ananipa wasiwasi na uelewa wake,pengine sio mzima,hua najiuliza Kwanini hizi vurugu hakuzifanya alivyozaa na majizo?
Sijamteta acheni kumsimanga na ninyi mtazaa pia watoto wa kike na wa kiume
Aliibiwa bwana akiwa na katoto kadogo sikuona watu kumshambulia lulu

Mlitaka amfiche mtoto halafu?kumbuka majizo hakukataa mwanawe halafu mkija kujua ukweli mtaona aibu maana hamisa ht km hana akili ndo avujishe picha zake halafu aende kushtakii?[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Zari kweli kiboko, lile jumba kalamba kilainii kwasasa dogo akienda aende kwa adabu.
Aisee mungu akunyime pesa akupe akili.
Zari anajua sehemu nzuri ya kugawa papuchi yake kampa Ivan. Hesabu zimekubali.
Kampa diamond hesabu zimekubali.
Lakini huyu Dada etu Ana jua kulenga sehemu nzuri ila akili hanaaa. unafikiri majay akiondoka anaweza kupewa, hamisa miradi ya majay aendeleze? na hivyo jinsi alivyo?
 
Una hakika ndo alipost?!!ngojeni ukweli mtaujua kesi iko mahakamanii
Juzi tu kapost anataka kwenda kuchukua hereni zake kwa diamond. Kwenye lile tangazo la Danube. Amekuwa paka shumee
Anaibiaaaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]. Mimi nalala. Ila mshaurini huyo mwenzenu Kama anamtaka diamond. Aache mapepe. Mambo kitandani sio INSTAGRAM
 
Kumbe hujui ilikuaje[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]ndo walewale kumbee
Usiku mwema
 
Pambana na hali yako ungekua na busara kipindi haswa kipindi zari anachezewa na diamond bafuni ungempa ushauri mtu mzima yule

She is jus 24 ujana maji ya moto!fancy baba ake anajielewa kila mtu na life lake looohhh!
Mlitaka azae na nani?hahahaaaaaaa
Ndo ashazaa na diamond na ndo ashafanya party

Mwanamke jeuri muibie mmewe
mie nataka nikuibe ww maana hako ka mdomo nimekaelewa/avatar/
 
Zile picha akiwa kitandan na dai,hamisa alivujisha kupitia shost yake mkenya ili kumkomoa dai,hio danube alipost ili nae apate ubalozi jamaa wakamtolea nje. Hamisa hana akili kabisaaa
Juzi tu kapost anataka kwenda kuchukua hereni zake kwa diamond. Kwenye lile tangazo la Danube. Amekuwa paka shumee
Anaibiaaaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]. Mimi nalala. Ila mshaurini huyo mwenzenu Kama anamtaka diamond. Aache mapepe. Mambo kitandani sio INSTAGRAM
 
  • Thanks
Reactions: nao
Dai mse*nge hamisa msengerema.wote wapuuzi tu

Hasa.hako ka.hamisa analeta.ushindani wa..kijinga zari naye ni lofa tu

Watanzania wanaowashabikia.nao ni wapumbavu na malofa .

Ukikasirika kunya tikiti
 
Mimi ninachokiona kijana mwenzetu ni maarufu kwa kula scrapers, zote zile ni scrapers!
Hii ndio point sasa
Zari na Hamisa hakuna utofauti sana kwa jinsi Diamond alivyowakuta(past) zao na walivyo sasa(currently)
Yani wote wamezalishwa na hakuna mwenye ndoa na wote walikuwa na watoto huko walipotoka

Hawajamuelewa tu Diamond alivyosema ndio kwanza ana 28 na ana uwezo wa kuoa wake wanne
Wangeishi kwa peace tu kama wake wenza(jambo ambalo wanawake hatuliwezi)

Mwisho wa siku muamuzi wa mwisho ni Diamond
 
Zile picha akiwa kitandan na dai,hamisa alivujisha kupitia shost yake mkenya ili kumkomoa dai,hio danube alipost ili nae apate ubalozi jamaa wakamtolea nje. Hamisa hana akili kabisaaa
MPENI USHAURI
 
Hii ndio point sasa
Zari na Hamisa hakuna utofauti sana kwa jinsi Diamond alivyowakuta(past) zao na walivyo sasa(currently)
Yani wote wamezalishwa na hakuna mwenye ndoa na wote walikuwa na watoto huko walipotoka

Hawajamuelewa tu Diamond alivyosema ndio kwanza ana 28 na ana uwezo wa kuoa wake wanne
Wangeishi kwa peace tu kama wake wenza(jambo ambalo wanawake hatuliwezi)

Mwisho wa siku muamuzi wa mwisho ni Diamond
There you are ...sasa tujulishane...tabu ya uke wenza au shida yake ipo wapi....as long as mwanaume anauwezo wa kuprovide equally kwa kila mmoja?
 
Hii ndio point sasa
Zari na Hamisa hakuna utofauti sana kwa jinsi Diamond alivyowakuta(past) zao na walivyo sasa(currently)
Yani wote wamezalishwa na hakuna mwenye ndoa na wote walikuwa na watoto huko walipotoka

Hawajamuelewa tu Diamond alivyosema ndio kwanza ana 28 na ana uwezo wa kuoa wake wanne
Wangeishi kwa peace tu kama wake wenza(jambo ambalo wanawake hatuliwezi)

Mwisho wa siku muamuzi wa mwisho ni Diamond
SHIDA SIO KUWA NA WATOTO. NI AFADHALI ZARI HATA AKIWA NA WATOTO KUMI NA BABA TOFAUTI ILA ANA BUSARA HUYU MWINGINE NI KANGA MOKO
 
Eti Hamisa miaka 24? Kwanini hawa watu wote ni miaka 24 tu? Kuanzia Hamisa, Wema, Mange, Le Mutuz, hivi kwanini lakini?
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] haki zipi labdaa?kaahh!mwataka kila anachokifanya mkijue ptuuu

Huyo diamond akiamua kumsaidia atamsaidia akigoma hana akili mtoto atakua tuuu!!mwisho wa siku diamond atakua mjinga
Wewe Dada mswahili
 
Eti Hamisa miaka 24? Kwanini hawa watu wote ni miaka 24 tu? Kuanzia Hamisa, Wema, Mange, Le Mutuz, hivi kwanini lakini?
NI VIZEE! USED CHINESE MACHINES! NDOA NZURI INGEKUWA LEMUTUZ NA MANGE, HAMISA NA STEVE NYERERE,WEMA NA HARMORAPA
 
Back
Top Bottom