babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Zari kweli kiboko, lile jumba kalamba kilainii kwasasa dogo akienda aende kwa adabu.Aendelee kubishana na zari
Mwenyewe yupo sauzi nyumba kanunuliwa na watoto wake ana uhakika hawakosi kitu kwa diamond. Mshaurini hamisa atulie aache mapepe atakula sahani moja na zari. Vinginevyo atabakia hivyo hivyo. Kumuona diamond Instagram. MTU umeshazaa nae mapepe ya nini
Aisee mungu akunyime pesa akupe akili.