Ni kweli mkuu,hakuna haja ya kuwakubali wote ila sio lazima mmoja ashushwe,ni busara zaidi kama tutakuwa na wasanii wengi wenye mafanikio zaidi ya kiba na diamond
clinician ifike kipindi sisi kama wapenzi wa burudani tubadilike na tuwe kitu kimoja, maana naona hata hawa wanamuziki wetu ni kama wanazipenda hz timu zao ,