Ni kweli mkuu,hakuna haja ya kuwakubali wote ila sio lazima mmoja ashushwe,ni busara zaidi kama tutakuwa na wasanii wengi wenye mafanikio zaidi ya kiba na diamond
mkuu ni kweli unachosema,wasanii ni lazime wazifurahie timu kwa kuwa zinawatukuza kinamna,wapenzi wa burudani kubadilika ingekuwa vizuri lakini maamuzi mengine yapo kwenye personal level kwahiyo kukubaliana katika hili inaweza isiwe rahisiclinician ifike kipindi sisi kama wapenzi wa burudani tubadilike na tuwe kitu kimoja, maana naona hata hawa wanamuziki wetu ni kama wanazipenda hz timu zao ,
na bado ukapoteza muda wako kusoma mpaka mwisho na ku-comment,kwa sababu sijaandika unachopenda haimaanishi unitukane....mimi ni kichwa maji kwa sababu ya makala niliyoandika,je kwa comment uliyotoa unajiweka kwenye tusi lipi?Hii soga nyingine kutoka kwa kichwa maji.