Chicken coming home to roosting place

Chicken coming home to roosting place

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
16,950
Reaction score
13,527
Soon after assassination of president John F Kennedy those days,main stream media zilimuapproach Alhaj Malik Elshabaz a.k.a Malcom X,na kumuuliza kuwa,je nin views zako kutokana na kifo hiki?

Alhaj Malik Elshabaz akawajibu very shortly kuwa his death is like now 'Chicken are coming home to roosting'...hakika ni kauli ambayo ilizua taharuki na kuleta hasira nyingi sana kwa wazungu hadi kwa baadhi ya wenzake ambao Malcom alikuwa nao in The Nation Of Islam,inshort chicken coming home to roosting ni cursing verb ambayo imekuwapo tokea miaka ya 1800 huko ikiwa na maana ya kwamba karma is a bitch,i.e those bad things which you keep on doing day to day in your daily lifetime will automatically come back to you in the future,and if not to you it will be to even your children or to your children's children...

Alhaj Malik Elshabaz alifananisha assassination of president John F Kennedy na maovu ya white people during those days to us blacks like enslavement of our fore father's, mass killings of native Americans, unjustified wars like Vietnam wars, Hiroshima and Nagasaki bombings etc,so kufarik kwake iwe message kuwa mungu anawajibu,

Tukirud kinachotokea kwa sasa hapa kwetu,ni chicken coming home to roosting place,because it's true kuwa kuku ukiwafungulia asbh wakaanza kuranda randa kutafuta chakula jion lazima watarud kwenye mabanda yao kupumzika pale Giza linapoingia,and now it seems dalil za Waz kbs kuwa are coming home to roosting,

It's almost one year since the death of Magufuli,but when we mention him kuwa he was the root cause of all these things watetez wa legacy wanasema kwamba why tusimuache apumzike?why tusi move on?Kwan aliendesha SERIKALI peke yake?..na kadhalika,

Hatummention kwa kumlaum,au kwa kulia na kusaga meno la hasha,na Kuna wanaoenda mbali zaid na kusema nyinyi wengine Regime ikiwa Iko chiki ya mtu anaeamin Iman yenu mnaweka pamba masikion au kuvaa miwan ya Giza,hamuon wala hamsikii,lakin tuwe wakweli tumesahau usiri uliokawepo katika kuongoza nchi hii mwaka mmoja uliopita?tumesahau usiri wa kununua ndege Tena kwa cash huku tukigombezwa kuhoji pesa imetoka wapi na zimenunuliwa vip?kias Cha kwamba hata CAG Assad akanyimwa Access ya kufanya ukaguz?Tumesahau hata tulivyokawa tunazuiwa kuhojj 1.5Trillion imeenda wapi?,kuambiwa kuwa miradi hii mikubwa mikubwa tunajenga kwa fedha zetu za ndani na siyo mikopo?,kukimbia kwa private sector ndan ya hii nchi kutokana na kusulubishwa na wakati mwingine kubambikiwa kodi na kuzuiwa fedha zao?,ni nan alikuwa ana uwezo wa kuhoji,mauaji ya critics of the government na intimidating rival political parties,kuingiliwa kwa bunge na mahakama just to mention but few of them,tumesahau?,that's what we call chicken coming home to roosting...

Ndan ya mwaka huu mmoja Tena baada ya kutokea kwa kifo Cha ghalfa na huyu makamu wake kuchukua kijiti,why matarjio yawe makubwa hivyo na kusahau uhalisia wa tulikotokea?,

Don't quote me wrong,hatupo kutetea Hali halisi ilivyo,ni kweli Hali ni ngumu ila kila kitu kina rootcause yake,kuongoza nchi kubwa kama hii na kwa kipind kama hiki ambacho dunian imepitia changamoto za kiuchumi hasa ukawa na president wa aina ile ambae ameondoka siyo kitu Cha mchezo,

Tukubali,ama tukatae SERIKALI kama ilivyoshauriwa na bunge last week iangalie measure za kufanya SUBSIDY na kuupa nguvu uchumi,wakae chini na wataalam wa uchumi pia na kuangalia jiran zao wanaifanya Nini hususan katika kucurb hii cost ya ongezeko la bei ya mafuta ambayo hatuna uhakika hasa kuwa imeshafikia bar au itaendelea kupanda,

Mabadiliko ya uongoz na uchumi wa nchi hata kama kiongoz awe na utashi wa aina Gani hayawez kuja kwa haraka within one year,lazima tukosoe pale inapobid na kutoa ushaur wa kipi kifanyike kinachofaa kwa manufaa yetu sote kama Taifa.
 
Umeanza na maelezo ambayo hayaendani na ulichomaliza nacho. Ama labda useme aliwabana wafanyabiashara wasipandishe bei hovyo na sasa hayupo bei zinajipandia pengine angewaacha wapandishe tungekuwa tumeshazoea hiyo hali, au alikosea kuzuia ufisadi na sasa tunaona kama mambo mapya angeyaacha tungeyazoea tu na kuchukulia poa kama ilivyokuwa awali.?
 
Maelezo na nilichomaliza nacho yanaendana,may be hujanielewa
 
Samia's Administration is a curse to the Nation... huyu mama havuki kipindi cha pili iwe kwa masika au kiangazi.
Kila siku tunawaambia mmeshindwa kuingiza hawaskii
Magufuli alishindwa, na hata huyu kashindwa. Lakini ndio kwanza wanasema wanaupiga mwingi. Sasa Tena haohao wanaosema anaupiga mwingi wanalalamika mambo bado magumu
 
Ww ni mjinga na mpumbavu, si ni nyie kila mara mlikua mnasema mambo sasa hivi mazuri.mara sijui Samia kafanya maajabu, Mara anashangaza wachumi.
Leo mnasema itachukua muda mambo kukaa sawa, Sasa hayo ya anaupiga mwingi mliyatoa wapi?
 
Pambaneni na mfumuko wa bei. Mwacheni mzee alale. Wakati wake hatukuwahi kuwa na mfumuko wa bei na ndio maana wafanyakazi waliweza kuishi miaka 5 bila kima cha chini kuongezeka.

Mfumuko wa bei ya sukari alirithi 2015 kutoka kwa hawa hawa waliorudi madarakani.
 
Urais sio sehemu ya majaribio! Kipimo kilichotumiwa kwa Magufuli hata Samia atapimiwa hicho hicho! Kama Urais ni mgumu mtu anaachia tuu!

Lazima tukubali kuwa kama kuna sehemu kunaendelea kumshinda Samia ni kwenye basic needs za watu na hili litamtesa sana...

Halafu nimekuja kugundua Rais wetu ana tatizo la uvivu wa kusoma mambo na kufatilia mambo muhimu na ndio maana kila akitoa hotuba ni lazima ujiulize kama ana taarifa sahihi kweli au hajui kinacho endelea nchini!

Hatuwezi kuendelea kulia na maiti ya Magufuli kila leo na tukatumia maiti kama kinga ya kujificha kuwajibika!
 
Don't quote me wrong,hatupo kutetea Hali halisi ilivyo,ni kweli Hali ni ngumu ila kila kitu kina rootcause yake,kuongoza nchi kubwa kama hii na kwa kipind kama hiki ambacho dunian imepitia changamoto za kiuchumi hasa ukawa na president wa aina ile ambae ameondoka siyo kitu Cha mchezo,
Hiyo paragraph ndiyo ilipaswa kuwa conclusion ya yote uliyoandika. Kipindi kigumu kama hiki kilihitaji nchi iwe na president wa aina ya Magufuli.

Ugumu wa maisha unaoufeel kwa sasa ni kwa sababu nchi ipo kwenye autopilot chini ya mama yako huyu clueless.

Na hivi ndo bei za vitu ziko juu mnalia hivo embu fikiria huyu ndio angekuwa kwenye usukani kipindi cha corona leo hii mgekufa nyote kwa njaa. Haka ka neema kalikopo hata bei za vyakula bado ni affordable ni kwa vile kipindi cha corona mwamba alimanage crisis with the future in mind.

Msitulilie hapa pambaneni na hali zenu. Sisi wengine hapa tunaomwona Magufuli anapaswa kupewa credit zaidi ya anayopewa wala msidhani tulineemeka sana na utawala wake au tunapigika sana chini ya utawala wa Samia.

Ni kwa vile tu tunaweza kuanalyse mambo bila bias yoyote na tunaweza kukwambia kwamba huyo mama yenu asipojiongeza anaweza hata asifike 2025.
 
That man said "mtanikumbuka".

Kweli anakumbukwa na wengi.

Dunia inapita pagumu...ugumu uko sehemu nyingi, huko Sri Lanka hali ni ngumu. Ila kuna watu wanachukulia hali hii kufanya uhujumu uchumi.

Makamba Jr. anadai hatuzalishi mafuta, Rais anadai hali itakuwa ngumu zaidi. Nawauliza tu kinawashinda nini kujifunza kwa India jinsi anavyonunua mafuta toka Russia kwa bei chee?

Tanzania iko neutral kwa suala vita vya Russo-Ukraine...kwa nini nasi tusirudi mezani tukaja na mbadala wa kuivusha nchi.

Huu ndio wakati muafaka wa kuifufua TIPPER
 
Mfano wewe unamkumbuka kwa lipi,

Labda utuambie by the time anakufa,hakukuwa na vita hii inayoendelea kilikuwa na COVID-19,

Na Hali bado ilikua mbaya na watu kulalamika vyuma vimekaza,kwan lin maisha yaliwahi kuwa nafuu?immagine angekuwapo ingekuaje
 
Hiyo paragraph ndiyo ilipaswa kuwa conclusion ya yote uliyoandika. Kipindi kigumu kama hiki kilihitaji nchi iwe na president wa aina ya Magufuli.

Ugumu wa maisha unaoufeel kwa sasa ni kwa sababu nchi ipo kwenye autopilot chini ya mama yako huyu clueless.

Na hivi ndo bei za vitu ziko juu mnalia hivo embu fikiria huyu ndio angekuwa kwenye usukani kipindi cha corona leo hii mgekufa nyote kwa njaa. Haka ka neema kalikopo hata bei za vyakula bado ni affordable ni kwa vile kipindi cha corona mwamba alimanage crisis with the future in mind.

Msitulilie hapa pambaneni na hali zenu. Sisi wengine hapa tunaomwona Magufuli anapaswa kupewa credit zaidi ya anayopewa wala msidhani tulineemeka sana na utawala wake au tunapigika sana chini ya utawala wa Samia.

Ni kwa vile tu tunaweza kuanalyse mambo bila bias yoyote na tunaweza kukwambia kwamba huyo mama yenu asipojiongeza anaweza hata asifike 2025.

Swali langu ni kwamba,lin maisha yaliwahi kuwa nafuu???

Hata kipind hiko Magufuli yupo si bado mlikuwa mnasema vyuma vimekaza?
 
Pambaneni na mfumuko wa bei. Mwacheni mzee alale. Wakati wake hatukuwahi kuwa na mfumuko wa bei na ndio maana wafanyakazi waliweza kuishi miaka 5 bila kima cha chini kuongezeka.
Mfumuko wa bei ya sukari alirithi 2015 kutoka k
wa hawa hawa waliorudi madarakani.

Bei za mafuta ya kura,sukari havikupanda enz za Magufuli?
 
Mfano wewe unamkumbuka kwa lipi,

Labda utuambie by the time anakufa,hakukuwa na vita hii inayoendelea kilikuwa na COVID-19,

Na Hali bado ilikua mbaya na watu kulalamika vyuma vimekaza,kwan lin maisha yaliwahi kuwa nafuu?immagine angekuwapo ingekuaje
Nenda kijijini ukasema mabaya yake uone. Sisi wengi wetu ambao ni keyboard clickers ndio tunawaza kama wewe.

Nilikuwa Iringa na Mbeya nikifanya kazi vijijini, nilisema jambo niliishia kuambiwa kama unataka tukushushie mvua ya mawe endelea kusema lisilofaa juu ya huyo kiongozi wetu.

Mbolea tununue mfuko wa 50kg kwa 130 000 huku gunia la mahindi ni 40,000🤭🤭
 
Samia's Administration is a curse to the Nation... huyu mama havuki kipindi cha pili iwe kwa masika au kiangazi.

Wewe siyo mungu,hata kijacho sekunde moja yako hukujui,sembuse kipindi Cha pili Samia?
 
Back
Top Bottom