Chicken jalfrezi na wali wa kukaanga

Chicken jalfrezi na wali wa kukaanga

Attachments

  • 20140616_213941.jpg
    20140616_213941.jpg
    236.7 KB · Views: 146
Last edited by a moderator:
Njia nzuri sana hii ya kupasha kiporo cha wali.
farkhina, asante umenifundisha kuongeza matumizi ya mtindi ili nipunguze kutumia nazi. Mtindi naweka kwenye sosi ya biriani tu.

Umeona shoga angu huo wali wangu ulibaki jana nkaweka kwa friji leo upishi huo nkasema acha nitumie.....

Yogurt nzuri hususan kwenye kuku wa kubake shoga angu anakua lainiii na mtamu
 
Last edited by a moderator:
How? Hujambo?

Sijambo my dada!!!!

Ha ha ha haaaa si unajua sio wote watapenda kujifunza maana itakuwa "mke wangu unamjua kuku bint jalfrezi!!!??? Mke :unasema????!! Mume: Ha ha haaaaa leo ntakupikieni!!!!

Ikiwa mara saba tisa kumi wataulizwa maswali watu!!!!!!!

Just a joke bhana we tufundishe! !!!!!!
 
Asante habibty. Hii ya kukaribisha Ramadan. In sha Allah will try this
 
Asante my...ntazimua viporo kama sina akili nzuri!!:smile-big:
Ubarikiwe
 
Sijambo my dada!!!!

Ha ha ha haaaa si unajua sio wote watapenda kujifunza maana itakuwa "mke wangu unamjua kuku bint jalfrezi!!!??? Mke :unasema????!! Mume: Ha ha haaaaa leo ntakupikieni!!!!

Ikiwa mara saba tisa kumi wataulizwa maswali watu!!!!!!!

Just a joke bhana we tufundishe! !!!!!!

Hahahahaha sawa
 
Aisee farkhina nahisi hapo nyumbani kwako ni kama 5 star hotel vile. Unarithisha huu ujuzi kwa wapwa(wanao) lakini.? Ama utakuja kufa na ujuzi wako.?
 
Aisee farkhina nahisi hapo nyumbani kwako ni kama 5 star hotel vile. Unarithisha huu ujuzi kwa wapwa(wanao) lakini.? Ama utakuja kufa na ujuzi wako.?

Hahahaha nawarithisha
 
Back
Top Bottom