Chicken nugets na sosi ya ukwaju

yam yam yam..
 

mama ngoja nikwambie mie kuku napenda balaa ningekuwa dent wa sasa ningejazwa mimba sababu ya kuku lol
ila hao unaowasema ni kuku matahira kuku wa kienyeji hana hizo maaana mgumu afu yeye mwenyewe mtamu makorombwezo hayamfai.
Kuna siku nilikula dom chako ni chako wale kuku walikuwa wa kienyeji wa foil ila mpaka leo sijajuawaliweka nini yaani alikuwa kama vile anarojorojo kwa uroho nikafakamia na kusahau kuuliza walipikaje.
Kama kuna mdau anajua anisaidie maaana hadi niende dom si leo tena
 
Last edited by a moderator:
farkhina ukiweza weka burger in a simple way namaanisha vile bachelor wa kibongo anaweza pika afu ikanoga baadhi ya sosi nimeweka kwa friji nimemiss sana ila huku kijijini kwzngu hamna
 
Last edited by a moderator:
farkhina ukiweza weka burger in a simple way namaanisha vile bachelor wa kibongo anaweza pika afu ikanoga baadhi ya sosi nimeweka kwa friji nimemiss sana ila huku kijijini kwzngu hamna

Hahahahahaha poaa..
 
Last edited by a moderator:
Jamani Farkhina naomba kujua kuhusu kutengeneza Juice ya Ukwaju pia na Mbilimbi n Mango Pickle Thanks!
 

OMG!...........Mate yananidondoka!
 

Mpenzi kuna ile bread crumbs ya American garden si unaweza kutumia hapa? Mi huwa napikaga wale na mifupa yake lkn upishi kama huu
 
Last edited by a moderator:

Looks very simpl to make..I will try it na hiv badala ya unga nikiweka bread crumbs it can work?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…