Chid Benz alivyomjibu Millard Ayo kuhusu watu wenye shida wanasimu na bando

Chid Benz alivyomjibu Millard Ayo kuhusu watu wenye shida wanasimu na bando

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Chid Benz kapitia mengi Ulimwengu huu ambao na wengine wamepitia ila kimtazamo tanzania tunaona kama wakikosa mafanikio ni wamerukwa na akili.

Binadamu wanaamini ukiwa na mafanikio wewe umekamilika mpaka akili kumbe sio hivyo.

Katika kipindi cha mzee wa kepu nyuma Millard Ayo alimuuliza Chid Benz kuwa “unawezaje kuwaambia watu wanaopitia magumu na maisha”.

Aisee Chid alichomwambia we unajua wana simu janja wakajua .!

Ina maana hata Millard Ayo yeye anavyoona anahisi kila mtu yupo vizuri ndio maana hata habari zake za shida za Watanzania sio zake.
 
kuna watu wana smart na wanapitia magumu pia,chidi yuko sahihi kwa namna nyingine hayuko sawa.
 
"Aisee Chid alichomwambia we unajua wana simu janja wakajua .!"

?????
 
Back
Top Bottom