Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Yaah he gat problem..coz haelewi hata anaongea then yuko speed kama anakimbizwa in kifup still n mentor....Tale hawez kukomaa kama anavyotaka yeye iwe at list angetulia binadam hua tunachokaHuyu Muhuni bado hajapona.
Huyo tale si ampige tu maweeMsanii aliyekuwa ameathirika na madawa Chid Benz akiwa anahojiwa Clouds amemdiss meneja wa WCB Bab Tale kwenda kumtangaza ameshindikana na amerudia tena madawa
Amesema kama alimuona anafanya jambo ambalo sio angemuambia na sio kukaa kimya kisha kwenda kuongea mbovu