Chid Benz amchana Bab Tale, alinifuata mwenyewe kisha ananitangaza nimeshindikana?

Chid Benz amchana Bab Tale, alinifuata mwenyewe kisha ananitangaza nimeshindikana?

Hiyo attitude ya Chid benz ya kupelekea kunena yote hayo inaleta shaka bado ana sumu mwilini inamla.

Napenda attitude ya Q Chief kanyooka haswa.

Fatilia kwa makini attitude ya chidi benzi na ya TID zinafanana utadhani wote wanaishi nyumba moja ila jibu ni moja tu kuwa hiyo attitude ndiyo huo unga wenyewe sasa unafanya kazi yake.
 
Tale kimbelembele sana....Anapenda sana kiki hata kwenye mambo ya msingi
 
Huyu Muhuni bado hajapona.
Yaah he gat problem..coz haelewi hata anaongea then yuko speed kama anakimbizwa in kifup still n mentor....Tale hawez kukomaa kama anavyotaka yeye iwe at list angetulia binadam hua tunachoka
 
Chidi ama kweli ni mgonjwa sana bado! Angalau angemshukuru Tale kwa kujaribu kumsaidia hata hicho kidogo miongoni mwa watanzania wote!
 
Msanii aliyekuwa ameathirika na madawa Chid Benz akiwa anahojiwa Clouds amemdiss meneja wa WCB Bab Tale kwenda kumtangaza ameshindikana na amerudia tena madawa
Amesema kama alimuona anafanya jambo ambalo sio angemuambia na sio kukaa kimya kisha kwenda kuongea mbovu


Huyo tale si ampige tu mawee
 
Poda n hatar sana aiseee sio yule chid Benz wa katka hao ya mwasit sio tena yule king Kong...
Tatzo lina kuja iv..chid anamlaumu tale na jamii inayomtupa wakiwemo na members wa jf wanamlaumu chid kuacha na kulud tena...hii vta haijawai kumuacha mtu salama kabisa...
Dawa pekee ya chid kulud n yeye mwenyew na nafsi yake wakae chin waamue kuacha..sio tale wala mawazo ya jamiiforum...
 
Back
Top Bottom